Guys, embu lets discuss hili swala.
Watu wengi huchukulia sex kama jambo kuuubwa, na wengine they go to extreme measures iliku-have sex.
Na watu ambao either ni mabikra au hawaja-sex kwa muda...
Kutokana na hali ya tamaa kubwa ya fedha ,mafanikio na kuishi maisha ya kifahari,suala la kuwa na mke au mpenzi mzuri na akaridhika linaonekana kama haliwezekani kabisa katika nchi yetu hii...
Wasalaam,
Wana JF wote.
Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe.
Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika...
https://www.facebook.com/share/v/wXRUZzMo624yBNyF/?mibextid=Mk4v2M
Majamaa waliingia nyumbani kwa Diddy na wakachukua kila kitu, ikiwemo hard disk za kamera za siri ambazo Diddy alikuwa ameweka...
Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA.
So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka.
Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs...
Kama kuna Mtaalam wa Afya anisaidie hivi kwamfano mtu akipima na akakuta anamimba halafu baada ya siku ya hedhi akatokwa na damu kwa siku moja tu kisha akaenda hospital kuangalia.
Akaambiwa...
Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?
Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?
Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
MEN STOP DATING A LIABILITY!
1. A girl who doesn't have transport fare to visit someone that she claims she love. (liability)
2. A lady who can't get you birthday or valentine gift but expect...
Kweli Mapenzi ni upofu Kweli na mwanamke akipenda anapenda kweli kweli ..Hizi ni Picha Zinazovuma za Wanandoa Waafrika wanaishi pamoja Mume na mke.
Binti amesema "Nampenda mume wangu ananijali...
Yaani unaweza hisi wanatengenezq moviee aisee
Niko beach moja nimekuja mazoezi naangalia mabinti na wake za watu wanavyochanuliwa maapaja yao ati mazoezi
Aisee nisisikie mke wangu amekwenda...
Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.
Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa...
1. Hujamba jamba sana bila mpangilio ila huwa kunakuwa hakuna Harufu ya Kukera.
2. Akikaa iwe katika Kochi au Kitu hupenda Kujibinua na hawezi kutulia kwa muda mrefu.
3. Ukiwa nae Faragha Kufanya...
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga
Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata...
Kwema humu?
Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje?
Ngoma iliishaje?
Umuofia kwenu ndugu zangu JF,
Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua...
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Si kila mwovu hakyna cha kujifunza kwake la hasha.
Hii tabia ya matajiri kuandika mali zao majina ya mama zao au watoto inasambaa sana na ni kitu wanaume...
My weekend is wacko.
Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov...
Msaada
Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu!! Ninafanyaje ndg zangu, ninashindwa kumjadili mamangu kwa kumkosoa mbele ya mke wangu.!!
NB: mama anaishi kwake na mimi naishi...
Igweeeeeeeee!!!
RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! )
Im...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.