Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga...
Habarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's...
NO CONDITION IS PERMANENT ;;;;;
Condition may change at anytime.🤔
Don't devalue anyone in life. 🧏
Don't look at anyone with contempt.
No one knows tomorrow.👂👂
In 1Sam2:5, Who could say Hannah...
Habar wana jf,
Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania.
Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu.
Niko na...
Ukiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za...
Wanajukwaa mko pouwa? Nimeamua kuleta hii mada kutokana na adha wanazopitia baadhi ya wanandoa au wachumba wanaofikia hatua ya kuachana kutokana na changamoto za uzazi unakuta kunakuwa na...
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa...
Habari zenu jf, moja kwa moja kwenye mada hivi uzinzi mnauchukuliaje, maana nilikuwa nasikiliza kipindi cha mwarobaini cha chaneli ten, nadhani kuna swali walikuwa wameuliza ambalo linauhusu siri...
BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA 😔
Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana...
Mambo vipi wakuu?
Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane...
Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... au Mkacheki Muvi.... au Mkacheza...
Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo.
Sasa manzi akashika mimba ya...
Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi...
Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae..
Wanawake...
Habar wana jamii forums, natumaini wote niwazima mungu anaendelea kutupigania.
Jaman NASISITIZA na KUSISITIZA kama umeondoka nyumbani kwako na kusafiri kikazi na kumuacha mkeo bhas niamini mimi...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe.
Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale...
Ndugu wana Jf na ndugu wa somaji kwa namna zenu salam zenye heri tele ziwafikie popote mlipo katika harakati zenu, basi na wale wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine Mwenyezi Mungu awafanyie...
Kuelimishana ni muhimu kwenye mahusiano ila ukiona kila siku unakuwa mshauri kwake jua upo unamlazmisha afanane na unayemtaka.
Kwenye mahusiano kuna kukosea vigezo baadhi na kukosea vigezo vingi...
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔
Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.