Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mkali wao: Unajua Penny nimemiss sana penzi la Nginjanginja? Money penny: Ambalo ni lipi? Mkali wao: Penzi la vurugu, penzi la kila sehemu mnaweka kikao, penzi la huku na kule, penzi la...
8 Reactions
57 Replies
1K Views
House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Barakoa za huba 🍒! Mapenzi kikohozi🥳 Mapenzi ni kama maua yanayochanua, Yanatoa harufu ya furaha, ya huba na uhusiano,Kila mtu anahitaji joto la upendo,Ili moyo wake uwe na amani na faraja...
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani. Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness...
14 Reactions
69 Replies
2K Views
Ni hivi, huyu bibie kama miaka miwil nyuma hivi nilikua sijapata kazi ya maana, yaani ilikua nafanya kazi hii narukia hii, au nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja. Kama mnavyojua kazi na agencies...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Jumatano njema! Angalizo: nitatumia lugha zisizo rasmi kwenye uzi huu. *************************************** Kuna vitu vinachekesha mno. Sasa kuna linkage ipi kati ya ngono na wanawake na...
17 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu mambo vipi? Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye...
5 Reactions
211 Replies
15K Views
Sielewi nianzie wapi sielewi nimalizie wapi, kwakifupi kamwe usimwamini mwanamke (Mke au Mpenzi) usimwamini hata kwa %0.5. Ipo hivi, nimeishi na mke wangu miaka 3 sasa sijawahi kumtilia...
57 Reactions
331 Replies
10K Views
Ukweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka. Sasa Leo nakuletea sababu za wake za watu kuchepuka...
38 Reactions
119 Replies
21K Views
Habari wakuuu..,.... Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani...
28 Reactions
197 Replies
3K Views
Nimeeleweka vzr tu acha muhangaike
6 Reactions
86 Replies
3K Views
Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii...
23 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wakuu, Wanasema siku za mwizi ni arobaini, wee endelea tu! wanawake mnajidhalilisha sana mmekua kupe kwa waume za watu, hv kama wewe ni mzuri sana au unajua sana mahaba si ungeolewa? Yote...
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Twende "direct" kwenye mada. Chekini haya mateso ya ndoa. Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo. Hebu chekini hizi comments. Acheni kuoa MTAKUFA. #YNWA YANGA_BINGWA
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana. Yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona...
7 Reactions
80 Replies
10K Views
Nyumba Ntobhu maana yake ni "nyumba bila mwanamume" ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa kabila la wajaluo Mkoani Mara - ushirikiano huundwa kati...
0 Reactions
20 Replies
838 Views
Habari wakuu na moja kwa moja niende kwenye mada kwa mwanaume yoyote ambae ndo anaanza kushiriki tendo kwa mara ya kwanza ni lazima apitie fedhea hii. Pindi anapo aanza kudumbukiza gogo kweny...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna siri kubwa sana kwenye kifo.. Kifo ni fumbo lisilo na majibu mpaka leo hii M'miss mtu aliye hai lakini yuko mbali nawe! Huyu mnaweza kuja kuonana lakini sio mfu.. Ambapo kwa baadhi ya imani...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia. Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza... Anaweza jiuza...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka. Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
Back
Top Bottom