Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2
Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha
Wazoefu mnaofahamu haya...
:hug:JAMANI NAOMBENI KWA WANAOJUA BAADHI YA SIFA ZA KABILA LA WAJALUO MNISAIDIE JAMANI MANA NATAMANI KUWAFAHAMU SANA HAWA WATU HASA WANAUME?
ASANTENI SANA
Kumekucha wana Baraza.......
Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida......
Ngoja...
Kila kitu kinaanza kwa kuamua kama mimi nilivyoamua kuacha kufanya ngono zembe kwa kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuamua kumrudia mungu kisawasawa na kuacha kupiga nyeto huu mwaka sasa...
Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU.
Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye...
Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena
Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi
Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake...
Nilichokiona Ni kuwa wanawake wengi Wana kauli za kukera na Ni wepesi kusahau,
Kuna kauli ukimtamkia mume wako Katu hatasahau na Ana kuvutia kasj tu akupige tukio!
1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila...
Be brave enough to give love another shot.
Photo: pixdeluxe | canva
Dating after divorce is nerve-wracking, but you know what? You deserve to find happiness.
Ending a marriage can bring to light...
Ushauri wenu wakina
Kijana wangu wakiume Umri miaka 8 kwa muda mrefu sana takribani miaka 4 uume wa kijana wangu umri miaka 8 simuoni uume ukisimama asubuh anapoamka.
Ama nikimuamsha usiku wa...
Nawapa salamu wanaJF,
Leo nawapa story flani jinsi nilivopata tunda kwa kutumia akili ndogo tu with zero money cost. Kuna Binti mmoja anaitwa Angel ni binti anafanya kazi katika pharmacy.
Huyu...
Kilikuwa kinapenda kula vijisenti vyangu ila mzigo kinabana.
Kwenye maslahi kuna majukumu. Vyangu kale bure vya kwake agome kutoa why?
Nimekalamba block kasinizoee kabisa.
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi...
Habari zenu;
Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
Ni ukweli...
Kuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"
Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa...
Habari zenu,
leo ningependa kufanya utafiti mdogo tu juu ya wanawake walio olewa wakiwa bikra katika miaka mitano (5) ilopita. sample space yangu itakua ni hii JF jukwaa la MMU.
kura zote...
1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake
2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri
3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda
4...
The woman I adore doesn't seem to notice me, while the one I can't seem to care for, feels deeply for me. It's like a twisted game of chance.
I've tried so hard to force my feelings, to love...
Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana.
Sikuwa na rekodi yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.