Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui...
Bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa hali ya hewa kuanzia mwezi wa Mei hadi huu Julai ni muafaka kwa watu kujamiiana na hivyo kuifanya miezi hiyo kuwa kama ndio breading season, especially kwa...
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?
Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu...
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye...
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo...
Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao.
Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo...
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo?
je,
ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa...
Huyu demu wangu ni mkimnya sana na muda mwingi hana time na mimi yupo busy na huyo kaka yake , wanaongea kimahaba sometime wakipigiana simu na wanajizima data kweli kweli
Pia ;:-
Sina uhakika...
Aisee haya maisha hata hayana maana sijui na mke wangu anawatafutaga ma ex zake iv [emoji24][emoji24]
Kuna binti kitambo kdg alikuwa nesi nikaenda akanitibu tukawa na mazoea kias chake Mimi...
Wapendwa habari zenu,
I hope everybody enjoyed the weekend.
Nimekuwa nikijiuliza hili swali bila kupata majibu, naomba mnisaidie.
kwa mfano uko kwenye mahusiano na mtu wako halafu ikatokea unataka...
Utamsikia mtu anasema "nina ki-date" au "they are dating" au "I'm not dating anyone". Ikumbukwe "date" kama ilivyo ni mojawapo ya mifumo ya mahusiano ambayo ni migeni katika jamii yetu. Je kudate...
Wote tunafamilia tumetokea na wengi tumeunda familia zetu , swali wewe ipi familia yenye kipaumbele kwako inapotokea mgongano wa mambo, hili nauliza kisa rafiki yangu anadai yupo tayari kuvunja...
Its been Ten years since you left me, i real miss you uliniambia every thing that happens has a meaning just follow the sound of God maana ndo tegemeo lako pekee duniani.
Pia, ulisema sio kila...
1. Baada ya kupata mtoto Hana interest na sex kabisa. Hii ni tofauti na kipindi cha uchumba.. kama niliomba mzigo mara kumi, basi nimepewa mbili. Siku akiomba yeye sijawah kataa. Na anapoomba yy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.