Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42
Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu.
Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike.
Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana.
Tuwasiliane
NOTE: Hakikisha...
Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana...
Salaam wanajamvi!
Wa baadu!
Wilaya ya Liwale, Lindi ni miongoni mwa wilaya zinazonufaika na huduma ya miaka mitatu ya Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF).
Liwale kwa sasa imekuwa Jamii...
Rafiki:Ni mtu unayemwamini katika maisha ya kila siku.Kuna tofauti kubwa kati ya RAFIKI na NDUGU.
👉Una nafasi na uamuzi wa kuchagua RAFIKI utakaye mwamini na yeye kukuamini katika maisha ya kila...
Watu wa ukumbi huu, habari zenu.
Nimeoa na sasa nina watoto 2 alhamdullah, nampenda sana mke wangu lakini kuna jambo hili linaendelea kila uchao nahisi moyoni nimeanza kulichukia chukia.
Kuna...
Habarini,
Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa...
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni Jumamosi na Jumapili.
Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto...
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa...
1. Money
2. Inches
Vitu tajwa hapo juu ndo mwanamke anavihitaji. Mwonekano mzuri, u-handsome, kunukia, ucheshi, wema nk ni kama vikorombwezo tu. Ila msingi uko kwenye hayo mambo mawili...
Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.
Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya...
Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini.
Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS.
Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale...
Kama kchwa cha habari hapo juu, WAKUU hii ipo mitaa karibu yote katika majiji makubwa na miji midogo hadi mikoani yani unakuta demu mkali kikweli kweli lakini ni MALAYA hatari yani AFISA MTOA...
Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote.
Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu...
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu...
HAKUNA BADIDILIKO LISILO NA SABABU NYUMA YAKE, HIYO NI TAA NYEKUNDU KAKUWASHIA.
Kwenye mahusiano kuna mabadiliko mapya na kuna yale yaliyokuwepo ila sababu tu ya mazingira ya wakati huo...
Habari ya muda huu!
Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.
Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.
Yule dada namfahamu, lakini...
Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi...
Salaam,
Kupitia mada hii tutashare sababu mbali mbali zilizotutenga mbali na tuliowapenda sana.
1: ALINIDANGANYA BIKRA
Huyu mrembo alinisubirisha sana, alinambia hajawahi anaogopa hivo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.