Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

AINA TISA (09) ZA LIMBWATA ANALOTUMIA MWANAMKE KUMLOGA MWANAUME Mwanamke ndio binadamu wa kwanza kabisa kuongea na Shetani face to face na hatujui waliongea mambo gani mengine tofauti na ile ishu...
23 Reactions
234 Replies
57K Views
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba. Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe...
47 Reactions
127 Replies
4K Views
MATUMIZI Kipindi cha uhusiano baadhi ya wapenzi hujifanya ni watu wenye matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nyinginezo lakini akishaingia ndani basi huonesha utumiaji wake mbovu wa rasilimali...
0 Reactions
6 Replies
278 Views
Uzi huu unawalenga zaidi vijana wote (haswa wa KIUME )japo hata kina sisi sun set tunakumbushana pia. Ewe kijana kumbuka kila jambo linatakiwa lifanyike kwa wakati na muda sahihi. 1. Kazi Sisemi...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Humu jukwaani hakuna memba aliyewahi kupewa mapenzi haya, zaidi ya mimi tu equation x, kama unabisha nyoosha mkono juu ujifanye unajikuna. Mapenzi yana raha yake ukimpata mtu sahihi, lakini si...
6 Reactions
6 Replies
233 Views
Unaweza hisi uko na mwanaume mwenzio ama lah look Wanaume yumeumbiwa mapito kweli kila pito letu Yaaan utamsugua weweeee anabaki kukaza sura kama anatambiika Yaan akikojoa unahisi kakujolea...
3 Reactions
1 Replies
248 Views
Rejeankichwa cha habari hapo juu Naomba kujua Lodge enye bei chini ya 10000 tujuzane pls Majibu yote kuzingatiwaa
0 Reactions
3 Replies
181 Views
habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge...
7 Reactions
71 Replies
1K Views
MAISHA RAHISI YAPO UTOTONI, UKUBWANI KILA MTU HULA KULINGANA NA UREFU WA KAMBA YAKE. Ifike muda ukubali kula kulingana na urefu wa kamba yako na ukiona havikutoshi basi pambana kuongeza urefu wa...
2 Reactions
6 Replies
240 Views
Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu. Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo...
19 Reactions
107 Replies
3K Views
Nitatoa mfano hai. Mimi nimekuwa nikimfuma bae wangu mara kibao kupitia hidden (bulb) cameras za hapa kwangu. Napata swali gumu. Wanaume ni nini sababu ya tabia hii hata tunapokuwa nanyi sako kwa...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Amebarikiwa mwanaume anayeingia katika maisha ya mwanamke kwa nia ya kweli na ikhlasi. Yeye ndiye anayempa usalama na kumfanya ajisikie mrembo, mwenye kujiamini, na mwenye akili. Anamwalika...
1 Reactions
0 Replies
285 Views
Huamini kajaribu kwenda iringa uone
2 Reactions
21 Replies
644 Views
Wakuu habari za muda huu. Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika...
51 Reactions
249 Replies
12K Views
Kuna umri ukifika, mwanaume uliyezaliwa rijali na kupitia mapito mengi hapa duniani ikiwemo maisha ya uchumba, club, pombe, unapowaombea watoto, omba naombea watoto wangu popote walipo, usiombee...
10 Reactions
20 Replies
998 Views
Ulishawahi kukutana na mpenzi mtamu? Kumuacha huwezi;akikukosea, wewe ndio unaona mwenye makosa unamuomba msamaha.. Kwenye yale mambo sasa,ndio usiseme ni kama amebarikiwa,sawa na unga wa ngano...
2 Reactions
65 Replies
19K Views
Ndoa ni taasisikama serikali. Mwanaume kazi yako kulipabills tamka kodi,mwanamke kazi yake kula kodi, Mwanamke hakupendi bure anatafuta security au kukula hela zako. Mke sio rafiki bali ni beberu...
10 Reactions
9 Replies
454 Views
Nina jamaa yangu amepanga chumba kimoja uko Tandika, sasa katika nyumba iyo iyo chumba kingine kuna dada nae amepanga na mume wake. Jamaa kiukweli ni mtanashati fulani na kwa jinsi alivyo ni mtu...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
7 Reactions
77 Replies
2K Views
Wakuu wangu, Watanzania wenzangu, kwema? Sifahamu bado kama natakiwa kuwahishwa milembe au la! 1. Kutojibana Nimegombana mno na wanawake kuhusu hili. Mimi ni mtu wa totoz kiasi. Mara nyingi...
5 Reactions
16 Replies
571 Views
Back
Top Bottom