Damn wazee nipo Dom Kondoa Kuna visu hakuna mfano. Nimeamu nifanye yafuatayo
1. Siondoki tena Kondoa.
2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na
nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili...
Kumekuwa na dhana mbalimbali nyingine potofu juu ya njia bora za uzazi. Wengine wanaogopa kutumia kondomu kwa sababu tu zinatumika na vijana wazinifu.
Wengine wanaogopa kutumia vidonge eti...
Kama mada inavyojieleza
Hivi ni nini hasa kinafanya wanawake kuwa wabinafsi kwenye suala zima la mali na mambo mengine kiuchumi?
Mfano mpo kwenye ndoa mke akiwa tu na kipato kikubwa kumzidi mume...
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza...
Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao.
1.1 Sura (nzuri au mbovu)
2. Rangi. (Mtume au jehanamu)
3. Harufu (kunukia au kunukia)
4. Kifua...
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life...
Nilipita somewhere kwenye kijiwe cha kahawa mida ya jioni, nikakutana na waume za watu wanalaani vikali wake na ndoa zao, kiufupi wanajazana sumu. Nilijikuta mdomo wazi baada ya jibaba limoja...
Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara...
Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu
baadhi kufunga harusi Leo na baada ya wiki ndani hakukaliki Kama sio kukutana mahakamani kupeana taraka
Katika mizunguko...
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk.
Tukasikiliza...
Jack na Cathy walikuwa wamependana kwa muda mrefu, uhusiano wao ukiwa mfano wa urafiki na upendo. Walikutana chuoni, wakashirikiana ndoto na malengo ya pamoja. Walionekana kama wenzi...
habari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje?
Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela😂 hata kama hajakuomba we mpe tu..
Mtaanza ooh...
Uke wa mwanamke una kushoto na kulia, kushoto kuna kifuniko na kulia kuna kifuniko.
Ndani ya kifuniko kuna kifuniko kingine upande wa kulia na upande wa kushot.
Ndani tena zaidi ya uke kuna...
1.hakikisha una mmudu
hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa
Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari...
Poleni na majumukumu.
Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Binti huyu ni yeye ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.