Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao.
Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu...
Na Chibueka:
Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao.
Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake.
Hii ni kwa sababu...
Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.
Wakorintho 1...
Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika
Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha.
Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege...
Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time.
Don't marry for love but marry for...
Naam,
Kijana zingatia sana unapohitaji kuoa basi usioe mwanamke aliyewahi kuachika, yaani aliyewahi kuolewa na mwanamume kisha akaachika. Usioe,.
Pia kama kaachika na mtoto au watoto huyo ndio...
Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo
Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo...
Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia.
Wanawake wengi wanaokula...
Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa...
Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).
Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: halo...
unajua limezuka Wimbish la vijana kuzaa ovyo kama ufahari
sasa wamefika wakati bar kila kijana analalamika aisee m yule mtoto xxx sijui kama sijaibiwa
hii n dhambi msiumize kichwa kama mnaona...
Salaam Wanaume Wenzangu mnaosoma huu Uzi.
TAFADHALI: Hii ni kwa ajili ya Men, wanawake wa jamii forum msipite hapa tuna kikao.
Kile Kikao cha Wanaume leo tena kipo hapa.
⚠️⚠️⚠️CAUTION...
𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂
____________________________
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao...
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na...
Hi,
Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa...
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........
mwanamke siku zote akiwa hana...
Ukiona uko lwenye mahusiano ya aina hii amsha akili zako
Kuna watu kwenye ndoa hawajui kuomba tendo la ndoa yaan mpaka useme wewe naomba
Kamwe hutaona wakisema can I make lve
Hawa wao n kuombwa...
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru
Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo...
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.