Mwanaume kamati hii...
Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi.
Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.
Mnunulie losheni...
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni.
Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila...
Katika hii dunia watu wenye chuki na Matajiri ni masikini mafukara yaani masikini anatamani kuniona Mimi tajiri nikianguka Sasa nataka niwaambie nyie mafukara Mimi sitoanguka milele tena siwataki...
Vijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu.
Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml...
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa...
Wakuu,
Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea.
Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you'
Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi...
Salaam,
Wanawake wengi huvutia wakiwa na mavazi, bt si kila mwanamke huvutia akiwa tupu.
Mwanamke anaevutia akiwa tupu husababisha mizimu ya hisia kureact non-stop kama vile umekula viagra...
Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua...
Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia...
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28.
Kusema kweli naipenda familia yangu na kama...
Habari wapendwa,
Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu, kweli maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na...
Happy Easter Monday MMU Family. Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow.
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, and a mother of four kids, miaka hiyo Nilikuwa...
Natanguliza salamu kweny wanaJF.
Nipo kwenye wakati mgumu mno kwenye maisha yangu kwani maamuzi yangu ndio yataamua future yangu. Nilikuwa na boyfriend wa tangu chuo, kwa miaka miwili na miezi...
4 Reasons Why You Should Not Marry A Pakistani Man (Warning)
lovedevani.comDec 5, 2023 7:20 AM
Marriage is not something to look down on. It's very serious and requires quite a lot of efforts to...
Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu..
Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.