1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati WOTE)
2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui
3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki...
pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww...
Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.
Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini...
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin...
Bravo maselaa, machalii na masistaa wa humu...
Niende kwenye mada
Katika watu waliotakiwa tuwe tumechanganya damu nao kisawasawa ni wahindi na wana miaka mingi tu hapa Tanzania ila cha ajabu...
Wakuu Salaam,
Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo.
Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua...
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko...
Hali hii husababishwa na wanawake wa dizaini hii kushindwa kuosha uke kwa ndani kwa kuhofia kucha zao zitawaumiza.
Kwa hiyo kama mkeo au mchumba wako ana kucha ndefu jiandae kisaikolojia...
MAJUTO KWA KWA VIJANA WENYE FIKRA FINYU WALIOZAMA NDANI YA PENZI NZITO KWA HISIA KALI ZA KIMA MAPENZI.
Intro.
Crazy winner.
"nimekuja Doctor naomba unieleze majibu yangu naomba uniambie...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kautafiti kangu kasiko rasmi nilikofanya mi mwenyewe ni kuwa masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri.
Masikini anapenda sana ngono kwakuwa...
Habri za maulid wana Jf,
Hivi ushawahi kupewa dedication ya wimbo flani na mpenzi wako au mtu wa karibu sana na ikatokea huo wimbo ukaupenda mno
Nini hutokea ukiskiliza wimbo huo ukiwa...
Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe.
Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
Ohaaaaa,
Kwenye mapenzi kuna vingi vinanogesha ,Mojawapo ni suala la kuambiana maneno matamu.
Huenda yakawa kwa maneno ya kusikika au hata ya kuandikika.
Najua si kila mmoja wetu ni mwepesi wa...
Habari
Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma
Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata...
Kama unaona ndoa yako maisha yako kiuchumii yanasuasuaa
Angalia na fukuza hawa
Panda
Mende
Mijusiiii
Mapaka
Kwa gharama zozote waondoke hapo kwako else utapigika mbaya yaana wanavyoendelea...
Kama Mwanaume unahitaji kuwa na uhakika na userious wa mwanamke kwenye mahusiano mnayoyaendea upendo na utashi wake wa kuyaendea/kuyalinda mahusiano yenu ni lazima uwe mkubwa kama au kuzidi ulio...
Ushauri nasahaa
Tunapitia mengi sana makanisani ukisikiliza mmmh
Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake
Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo...
Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia.
Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.