Wanawake wana akili zaidi ya tunavyowadhania, sema tuu hujifanya kama hawana akili, haswa akiwa karibu na mtu anayempenda na anayemwamini.
Huwa wanajizima data na kujifanya hawana akili au mambo...
Nilikuwa Chuo mwaka wa Pili, mtaani nilikutana na mama muuza uji. Alikuwa ni Mnyarwanda anaitwa Linah, kwa ujumla alikuwa mrembo sana(black beautiful, hips kubwa, tako laini na kimo chake ni Kama...
Huu ndio umri wa watu wengi wa lala salama katika mahusiano ya kufa na kuzikana.
Kama umefikisha huo umri,na mahusiano yako hayaeleweki eleweki, chukua hatua mapema.
Kama ni mwanamke, na una...
Habari.
Nimejikuta namchukia mke wangu.
Nimejikuta simpendi tena.
Kufupisha story kuna mwanamke niliibahatika kuzaa nae hivyo nikaamua niendelee kuishi nae na kutoa mahari kwao.
Ila kwa sasa...
Kwa wanaume wote ukienda shule ya udereva utayaona magari mengi lakini usilichukue hata moja ,bali tumia magari hayo kujifunza kutembesha lipia gharama zake kisha yaache hukohuko.
Kisha nenda...
Ndugu wanajamvi, nimeingia uwanjani kuzungumza mada ikiwa, hawa madada zetu wa kileo wanavyo jiachilia kwenye mahusiano. Nazugumzia wadada walio kwenye macho yetu kila mara, yaani mtu anae...
Mwanaume usije ukaruhusu kutowajibika kwa mwanamke kuwa wajibu wako. Kama unataka kukua kiuchumi au kimafanikio basi jipe kipaumbele wewe mwenyewe zaidi ya uyo mwanamke.
Kila binadamu ambae ni...
Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho.
Basi mtu anasimama...
Niko kwenye mahusiano na huyu Binti ana miaka 28, huu ni mwaka 3. Nampenda sana na tulishapanga mipango mingi, shida nikuwa hivi karibuni kabadilika sana na sioni kama nawezana naye.
Kwanza...
Case study.
Chukulia wewe ni kijana wa familia flani ambayo Mama wa familia ni Mama yako mzazi Baba ni wakufikia unasoma na huishi hapo Home unarudi mara Chache.
Hapo...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila...
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo...
Habari Wakuu,
Kila mmoja anatafuta nini afanye kudumu kwenye penzi haijalishi ni ndoa au mahusiano ya kawaida.
Ukweli ambao inawezekana hatuujui ni kuwa ,HAKUNA kanuni maalum ya kulinda penzi...
Habarini wanajamvi, kama tittle inavojieleza, sina amani ndani ya ndoa kwa muda mrefu sasa najikuta nina stress hadi afya imeanza kuzorota.
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 sasa, nilifurahia mapenzi...
KUKOSA PESA KUNAWEZA FANYA UONEKANE MSUMBUFU KWENYE MAHUSIANO 😔
Maskini unaweza kuwa na upendo tu wa dhati na uaminifu mkubwa ila kukosa kwako tu pesa ukaonekana MSUMBUFU kwenye mahusiano...
Wakati mwingine najikuta naamini kwamba yupo shetani aliyeumbwa maalumu kwa ajili ya kuniweka kwny matatizo tu, tena amepitishiwa kwa hawa ndg zetu wa jinsia ya kike.............
Nilikuwa kimya...
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi...
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye...
Good evening JF,
Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako labda mguu, jicho, nywele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.