1. Siku Moja Utastaafu.
Hautakua ukienda kazini, hautakua na madaraka tena, hautakua na nguvu ya ushawishi, mzunguko wako wa pesa utapungua kabisa!
Chunguza/fuatilia tarehe yako ya kustaafu kwenye...
Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.
Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala...
Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasababu wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare...
Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu.
Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo...
Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi...
Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye...
Nilichokiona baadhi ya wabongo wanatamani kuja Marekani, ila akili ya rushwa imetutawala kiasi ambacho badala ya kutafuta namna sahihi ya kuja tunatafuta namna ya kutafuta wa kumpa rushwa ili...
Salaam,
Upendo wa mwanamke upo dynamic, hutegemea zaidi matarajio yake alonayo kwako kukamilika.
Mwanamke akikupenda, na ukakidhi matarajio yake, utakula mema ya nchi na kujiona mwamba.
Ikiwa...
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu...
Utakuta baadhi ya wanaume wanahangaika kutafuta tiba, kufanya mazoezi ili kuwa na maumbile makubwa. Na bado hawafikii lengo.
Sasa wewe kama una kibamia;
kwanza: mpende mkeo/mpenzi wako kwa...
kisa chenyewe ndø kama ifuatavyo ..
Mimi nikijana mwenye miaka 20 sasa katika safari yangu ya maisha nimekuwa napitia changamoto nyingi katika masuala ya mahusiano ambapo masuala ambayo Mimi...
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.
Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani...
Kabla sijaenda kwenye mada, niseme tu ukweli, mimi ni kati ya wale wanaume wahongaji.
Nikiombwa pesa na mtoto wa kike, kama ninayo, nampa bila kusita.kwanini?, fatilia andiko langu.
Wiki kadhaa...
Bwana apewe sifa.
Kwanza kabisaa nitoe shukrani za dhatiii kabisaa from bottom of my heart kwa WANAUME. Sio siri bila nyinyi sisi sio kitu kabisaa. Ukiona mwanamke ana jeuri ujue kaitoa kwa...
Habari za leo wananchi wenzangu?
Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru impreza yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura, nikamwambia...
Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
Habarini wanajamvi.
Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia.
Upo ukweli katika...
BY DAYAN MASINDE?
The bedroom is the epicenter of love, it sets the mood of the home and affects everything in the house and family including parenting. The bedroom should be:
1. ?A prayer altar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.