Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa..... Mwanangu: Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli. Binti zangu skilizeni.... Mwanaume akikununulia gari, nyumba...
13 Reactions
35 Replies
665 Views
Wavulana wengi wanafikiri eti..... Ukitaka kumtawala mwanamke "mpe hela"...🤣 Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela...😜 Mwanaume simama kwenye...
23 Reactions
41 Replies
1K Views
Wasalaam, Mida ya leo usiku nilipotoka job nikaamua kupita kumuona X wangu nyumbani kwao kwani alidai anaumwa na alikua nikidhani akintania ana mimba isiyo na baba 🙄 Aiseeh ile kufika kweli...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwema ndugu? Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu. Juzi hapa nilikwenda kuwaona...
40 Reactions
113 Replies
4K Views
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua mwezi December ni mwezi wa ma-ex kupasha viporo Ombi langu kwa jinsia ya kike mliobahatika kuolewa na wanaume wa mikoani na ukaishi huko mikoani chonde...
1 Reactions
8 Replies
409 Views
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa. Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Kwanza mahitaji 1. Ndizi Iliyomenywa tayari au ambayo haijamenywa Hatua Anza kwa kuisafisha ndizi yako, isafishe kwa mikono yako taratibu. Usikubali kuiweka kwenye sufuria yako ndizi ambayo...
14 Reactions
26 Replies
581 Views
Wana JF nipende kuwahakikishia mimi nimepona kabsa na ninaendelea na shughuli zang za kijamii,kiuchumi, na kiuzazi kama kawaida. Nimekua nikiendelea kupokea pole na wengne hadi PM wananifuata...
8 Reactions
7 Replies
288 Views
Maisha bhana. Yaani sometimes unaweza kuta unajaza lori ma ex si kwa kupenda unakuta binti yuko na msimamo wake safi kabisa ana yake jamaa mmoja wanachuja nafaka kisela kabla ya kuoana jamaa...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka...
24 Reactions
52 Replies
1K Views
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI! Binafsi nilibahatika...
26 Reactions
315 Replies
23K Views
Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji...
16 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama kuna kitu nimekaa nikaangundua, ukipata mwanamke aliewahi pata mtoto ndugu ama akatemeka, Oa ndugu oaa wanaishi kwa adabu sana. Pili, hata mkiwa mnatafuta mtoto ukiona unachukua mda...
5 Reactions
25 Replies
753 Views
Salaam, Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake. Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto...
17 Reactions
55 Replies
2K Views
Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo...
10 Reactions
22 Replies
984 Views
Ndugu zangu habari, mm ni kijana wa almost 40 nipo katika ndoa kwa takriban miaka zaidi ya nane na tuna watoto kadhaa na mke wangu. Kutokana na aina ya biashara zangu za safar zangu ilinilazimu...
4 Reactions
31 Replies
908 Views
Hapo nyuma walianza kukomaa ooh hatufungishi ndoa zenye mimba Walipooona idadi ya kubariki ndoa ni wengi wakaona wawafungishe tu hivyo hivyo Hivi majuzi nimetoka kanisa moja Moshi kwenye harusi...
3 Reactions
22 Replies
665 Views
Inakata sana ukiona wengine wana make move kwenye mahusiano wewe uelewi Mshkaji wangu Mama Amina mara ya tatu hii katika nystatin tofauti namuomba Details za wanawake tofauti nipate mmoja wakuwa...
11 Reactions
67 Replies
1K Views
Kuna matatizo ya kujitakia na matatizo ya kutokea tu, ila kama unataka kuona kila aina ya rangi ya mwanamke, kaoe feminist activists. Nilimshauri brother aahirishe ndoa na huyu mwanamke...
26 Reactions
100 Replies
3K Views
Huyu mrembo mwenye chura matata utundu wake unanichanganya sana, mpaka najiona nimezaliwa upya kwenye mapenzi. Nikiwa nimelala, anajisogeza sogeza na kujigusisha chura yake kwangu, mara paap mzee...
20 Reactions
141 Replies
5K Views
Back
Top Bottom