Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Kama kuna kitu nimekaa nikaangundua, ukipata mwanamke aliewahi pata mtoto ndugu ama akatemeka, Oa ndugu oaa wanaishi kwa adabu sana.
Pili, hata mkiwa mnatafuta mtoto ukiona unachukua mda kajicheki wewe kwanza maana mwenzio ashajitwalia mwana mapema.
Wana hekima sana kwa waume zaoo wakati mwingine nawaza kwannn sikumuoa gfriend wangu. Yaan baana yake n rafiki yanguu anamsifiaa mpakaa najuta najamaa kaamua kulea mwanae na kaongeza wengine 3.
Wana upendo wa dhati na wa kweli marachache sana kuona aliekosea mara moja akakosea tena.
Nawaasa makaka ambao mko single msidharaau nachoongeaa kuna siku mtanikumbuka jamani kwenye hili.
Yaan sikuhizi hata wale madada wa makanisani wamekuwa vimeo wakiolewa tu wakakaa mwezi miezi wanajihisi nao ndioo superman sio mke tena.
Ugandaaa sikuhizi ndiooo habari ya mjini una mtoto mwanaume atakupenda mpaka ndoa inakufikiaa, yaan hata. anakupa heshima.
Nawatakia heri wote mtakaolewa/mnaoolewa siku ya kesho na leoo.
All the best