Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto.
Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
Kama kuna kitu nimekaa nikaangundua, ukipata mwanamke aliewahi pata mtoto ndugu ama akatemeka, Oa ndugu oaa wanaishi kwa adabu sana.
Pili, hata mkiwa mnatafuta mtoto ukiona unachukua mda kajicheki wewe kwanza maana mwenzio ashajitwalia mwana mapema.
Wana hekima sana kwa waume zaoo wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.