Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto.

Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako nyingine,

Hapo kuna baadhi ya watu wanaoitafuta pesa kwa jasho huonekana hawahudumii watoto kumbe tatizo lipo kwa mwanamke
 
Unayosema ni kweli ila unatakiwa uwe mwanaume ambae yupo kama simba , mimi binti yangu naishi nae , mama yake kaolewa ndoa kabisa ila akiishiwa pesa akinitafuta namtumia , ndio maana kama mwanaume vijana watakushauri utafute pesa bwashee
 
Back
Top Bottom