Wnawake wenye watoto wana mapenzi ya kweli, wanafaa sana kuolewa na wanadumu kwenye ndoa

Wnawake wenye watoto wana mapenzi ya kweli, wanafaa sana kuolewa na wanadumu kwenye ndoa

Sawa
 

Attachments

  • Screenshot_20221127-153123_2.jpg
    Screenshot_20221127-153123_2.jpg
    256.8 KB · Views: 13
Mapenzi ni mchezo wa timing. Ukiwahi basi umeshinda bet ila ukiwahiwa NO HARD FEELING kubali umepigwa za chembe and move on.


Waacheni watu wapende watakapo wenyewe.
 
Mkuu. Amka usingizini .. yaani katika hatua ambayo itakubidi usali Sana uone Kwa jicho la Moyo na akili na sio Hilo la kuangalia size ya makalio na rangi ni hiyo stage yaani usikurupuke huwa wanangozi ya kondoo sababu hawana maisha . Narudia tena kuoa mkuu omba Mungu Tu update aliye sahibi mengine Achana nayo.
 
Back
Top Bottom