Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na...
18 Reactions
347 Replies
4K Views
Iko hivi,kaona p mara ya mwisho December 04 kafanya mapenzi tarehe 17 anadai kapata mimba,ila mpaka saiz hajazaaa wataalamu hakuna kitu kizito hapaaaa
5 Reactions
18 Replies
461 Views
Wanawake wanachukua muda kupenda. Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu. Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi...
35 Reactions
172 Replies
13K Views
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa...
24 Reactions
125 Replies
6K Views
Nawashukuru kwa mawazo yenu nyote, nimepata maamuzi mazuri ya kuchukua. Nimegundua humu jf kuna watu hawana busara. Mtu akileta wazo unatukana kwanini!?
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari wakuu, Tangu umejiunga JF naamini umesoma mada nyingi zinazohusu mapenzi na mahusiano kutoka kwa wadau mbali mbali hapa JF. Kuna mambo umejifunza ambayo unatamani kila mtu ayajue Kwa...
9 Reactions
49 Replies
1K Views
Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
7 Reactions
32 Replies
772 Views
Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho...
7 Reactions
9 Replies
494 Views
habari ya weekend ndugu zangu wana Jf, mnaojiandaa na maandamano maandalizi mema niko hapa naomba kujua vitu kadhaa kwenye kuanzisha mahusiano kwenu wanaume kipi bora kumuambia ukweli...
6 Reactions
31 Replies
596 Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Niende moja kwa moja kwa mada, visasi baina ya wanandoa chanzo cha mauaji ya wanandoa. Kumekuwa na visa mbalimbali baina ya wanandoa kutoana uhai na...
11 Reactions
18 Replies
864 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huku Malindi,Kenya kujitafuta. Sasa, kinachonileta kwenu ni hivi: Kuna mwanamke (maana ni mwanamke ako na 35 years) tulikutana kwa app...
26 Reactions
241 Replies
6K Views
For so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana. Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba...
2 Reactions
13 Replies
510 Views
Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara...
16 Reactions
345 Replies
309K Views
Kwema wakuu Siku hizi hawa dada zetu kumpeleka gest ni ngumu wao wanapenda magetoni
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa, Kwakuwa kupindi hicho...
30 Reactions
287 Replies
21K Views
Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela 1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!! 2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee...
50 Reactions
413 Replies
6K Views
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+...
19 Reactions
89 Replies
2K Views
Habari wadau wangu wa nguvu mlioko humu. Leo naomba kuwajulisha siri hii chungu kumeza! SINA MAANA Kwamba Masikini wote ni Malaya HAPANA! Hapa namaanisha Umalaya na Umasikini ni mapacha...
41 Reactions
68 Replies
7K Views
.wenye kujua Lodge nzuri chini ya 10000 tujuzane wapendwa Majibu ya heshima na hekimas kuratibiwa
10 Reactions
88 Replies
2K Views
Back
Top Bottom