WHY I WANT A WIFE
By Jasmine Flower
I absolutely LOVE this article. It was an assigned reading for an English class I took in university. The humor and sarcasm in it are just perfect and...
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha...
Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha
Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu...
Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana
Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini
Siku...
Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui.
Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible...
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli
Angalia hapa
1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa...
1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni.
2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo.
3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha...
Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au...
Wanawake wa Dar,tukutane hapa tujadili mstakabali wa wanaume wa Kinondoni
Hali si shwari jamani,tunawasaidiaje jamani
Kwa utafiti huu kuwa "Wanaume wa Kinondoni wana matatizo ya nguvu za kiume"...
Unaamua kuwa na mchepuko,unamficha mume wako kwa miezi kadhaa bila yeye kujua
Unanogewa na penzi la mchepuko,na mapenzi kikohozi taratibu inaanza kufahamika una mwanaume mwingine
Mmeo anakubana...
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa
Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako
Na hii tabia ya kumuaga boyfriend...
Kwenye mahusiano ya boyfriend na girlfriend au mahusiano yoyote yale lazima kunakuwepo na kuhitilafiana kwa hapa na pale
Linapokuja suala la kugombana ya wawili hao kinachofuata ni kusuluhishana...
Mapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii, mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za simu
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea...
Unaweza ukakaa mwenyewe kwa muda mrefu bila kuwa na mwanaume ukaona hakuna stress kabisa
Lakini kuna muda unafika mwili unahitaji utimiziwe haja zake,unahisi kuhitaji dume, unachoka kujinyosha...
Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu...
Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu
Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3
Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa...
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi...
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia...
Si mbaya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maana inapaswa iwe hivyo, lakini kwa wanawake tulio single tuwe makini sana.
Unapochagua kuishi pekee yako kwenye nyumba yako uliyopanga au uliyojenga...
Kuna vibwanga duniania aisee, unaweza ukawaza mpaka usipate jibu
Huyu mdada akiwa na umri wa miaka 20 aliwahi kutongozwa na mwanaume mwenye umri wa miaka 38 hivi,lakini huyu dada alimkataa kwa...