Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn?
Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia...
Habari wana JF.
Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men...
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia...
Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani.
Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa...
Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa...
Habari wadau,kuna couple ukiingalia yani haiendani kabisa na uharisia yani unakuta jama ana sura ngumu ila anamiliki chombo moja ya hatari.
Watu wengi wenye pesa hujikuta wakimiliki mademu ambao...
Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife...
Katika pitapita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu''
Wenzie wakamuuliza, kimburu...
Kabla ya kuachwa mara nyingi kunakua na vijitabia au viashiria ambavyo wenza wetu hutuonyesha ila kwa vile wanasema mapenzi ni upofu tunakua hatuvioni viashiria hivyo. Saa nyingine tunaviona...
Wakuu naomba mnipe msaada wa mawazo maana tunatofautiana experience humu ndani.
Nilikua na mpenzi tuliyedumu naye miaka mingi kidogo kama miaka mitano kama wapenzi, nilimfahamu nilipokua form...
Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo...
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana...
Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimapata MWANAUME mwinagine naye ni mume wa mtu!
Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 5 na tuna mtoto mmoja. Ni mwanaume ambaye ananihudumia kwa kila...
Kukagua simu ya mpenzi ni jambo ambalo limekuwa kawaida kwa baadhi ya watu, hasa kwenye mahusiano ya kimapenzi. Watu wengi wanaona ni njia ya kudumisha uaminifu, huku wengine wakihisi ni uvamizi...
Wakuu nawasalimia wote, Jana jioni rafiki yetu Ms Leejay49 alitusambazia upendo na watu wengi tulifurahi pamoja na wengine wenye roho zao nyeusi wakaanza kuanzisha nyuzi za mafumbo kupinga kile...
Nikweli anaitwa Mariam "nime save kwenye ukurasa wa majina ya simu yangu", lakini kiukweli simjui huyu Mariam.
Ipo hivi......
Jana nimetoka kupombeka, mida ya saa tano usiku nimekaa na mamaenu...
Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka
Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati...
Watu wengi hukimbilia kwenye ndoa kwa kudhani kuwa ndoa ni tamu.
Mara tunajionea walioko ndani ya Ndoa wakipenda tena nje ya Ndoa huku wakionesha kukinai Ndoa yao.
Au Mahusiano ni matamu kabla...
Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights...