If tomatoes wanted to be melons,
they would look completely ridiculous.
I am always amazed
that so many people are concerned
with wanting to be what they are not;
what's the point of making...
my wife doesnt love my ndugu's. She dont even want to hear they come and stay with us, eg helping them in stydying for even 3 months course.i had had a bad relation with her after I realised that...
IntelliGender Gender Prediction Test is a simple urine analysis similar to the pregnancy test you took a few weeks ago. It uses first morning urine and a proprietary mix of chemicals which reacts...
"Sexy Ukrainian Women Looking for Love": The Fight Against Sex Tourism
Late last year, as Ukraine started getting seriously hit by the financial crisis, a man in a faux-leather jacket stood...
nawauliza wenzangu hii tabia ya kutembea kijana wa kiume na wakike wakishikana mikono na hata kubusiana mbele ya umati ni sawa kwani hata vijijini naona cku hizi inaenea.
From time to time, our romantic relationships can be difficult to understand. Part of this confusion stems from the fact that our relationships are influenced by three powerful, yet separate...
Wala sina hakika kama nipo sahii, lakini nahisi MAPENZI NA SIASA ni dugu ya nasaba moja!! Kote ni FULL UWONGO, UASI, USALITI, UZANDIKI NA UNAFIKI PIA!!Hata hivyo, ajabu ni kwamba, a well...
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex
Mtoto ana mwaka na miezi...
Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule...
Habari wana JF! mimi si member mpya katika kijiwe chetu pendwa ila nimeweka ID mpya sababu ya kulinda kujulikana ni nani maana wengi wananifahamu ID yng humu JF.
Jamani wakuu naombeni msaada...
Ukisikiliza huu wimbo kuanzia mpangilio wa sauti, ala zake zilivyopigwa humo ndani,namna walivyokuwa wanapishana humo ndan Bob Marley na Lauryn Hill na namna mashairi yalivyopangiliwa humo ndani...
Wakuu mnapigaje hapo.
Nilipomaliza chuo nlianza mishemishe za kuuza kuku wa kienyeji kwa wafugaji tu yan nlikuwa natafuta kuku wadogo wadogo majike na majogoo wakubwa nalangua nauzia wafugaji...
Habari
November 10 mwaka jana nilileta uzi hapa wakusikitishwa na aina ya mwanamke ambaye rafiki angu ameamua kumfanya kuwa mke wake na mama wa watoto wake (kama ukitaka kuu refer ukienda tu...
Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga
Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki
Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka...
Habari za wakati huu wadau na wana familia wote.....
Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho...
Salaam wana MMU
Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza...