Siku hizi maadili yamepotea, heshima imepotea, pesa imetawala...
Mchana unamuona binti mwenye adabu, hata wazazi (jamii)humuona hivyo...
Mama na familia yake anaonekana ni mpambanaji haswa...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
KIWANDA CHA MAPENZI
1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira
Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara
Na manyakanga mkupi, mje kupata amara
Ni kiwanda cha mapenzi, kimezitoa ajira
2 Kipo huko chumvini...
Huyu ni mzazi wako halali ila tu ndoivo hakuhusika na malezi wqla makuzi yako ukiwa mdogo.
Anaweza kuwa ni baba au mama yako halali kabisa ila hakuwepo wakati wa malezi na makuzi yako.
Bila...
Nimeona kuna mtu kaandika anaenda na mkewe bao nne mpaka tano. Nimeshangaa, hiyo ndiyo midinyo mnayowapa hawa wanaume au ni chai tu.
Wewe raundi ngapi akienda unasema inatosha, kesho nayo siku...
Linapokuja swala la kubadili dini katika mahusiano, Wanaume wengi wa kiafrika huwa inakuwa ngumu sana. Na pale inapotokea kwa mwanaume huwa wengi wetu tunamshangaa kidogo mwanaume anaebadili dini...
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia...
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa...
Hello
Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha.
Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti...
Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake.
Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako...
Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji.
Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa
Emu naombeni msaada
Tumieni sana busara
Wadau wa JF, habari za wakati huu?
Leo nimeamua kulifungua sanduku la siri, nataka tuchambue jambo ambalo limekuwepo kwa muda mrefu lakini limezungukwa na giza nene la usiri. Wadau, kuna mambo...
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.
NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa...
Kwa ninavyojua mahari ni sheria ya zamani ambapo mwanamke alikua bado ni mwanamwali hadi kuolewa, Sasa inakuaje Kwa ulimwengu huu wa Sasa mwanaume utoe mahari Kwa mwanamke ambaye sio bikra...
Him: What do you want from me ?
Her: I don't want expensive gifts. I don't need flowers that will fade away with time. I don't care of fancy dinners or grand gestures that cost you your savings...
Guys, tuseme umekutana na that wonderful woman of your dreams—she’s submissive, respectful, hardworking (anajitegemea kifedha), loyal, wife material, reciprocating, and has all those good...