Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha Labda nianze kwa...
18 Reactions
99 Replies
2K Views
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family. Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
38 Reactions
179 Replies
3K Views
Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa. Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi. Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu...
3 Reactions
10 Replies
264 Views
Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa...
49 Reactions
3K Replies
154K Views
Ushawai mpenda mtu afu Ata hujawai muambia unampenda mtoto wa mammkwe unakaa tu kua proud akioa au kuolewa, akifanikiwa yaan inakua sasa Kama secret well wisher(crush). NB: Sikushauri ka confess...
12 Reactions
103 Replies
2K Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE )...
3 Reactions
18 Replies
778 Views
Kuna mwenye sura nzuri, kuna mwenye nywele nzuri,kuna mwenye wezele,kuna mwenye hips kubwa,kuna kibonge anatikisa minyama, kuna anayerusha chura,kuna mwenye minding, kuna portable, kuna kafupi...
7 Reactions
25 Replies
411 Views
Nilianza kama utani kumbe kweli, kama mnakumbuka Kuna uzi niliwahi kuwaambia Kwa mara ya kwanza nililala na bongo fleva. Ipo hivi, MIMI nipo Mwanza city juzi nilipata namba yake kwa yule msanii wa...
8 Reactions
82 Replies
6K Views
Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men. Nawaambia leo...
3 Reactions
11 Replies
396 Views
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu...
55 Reactions
379 Replies
17K Views
Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke...
1 Reactions
13 Replies
289 Views
  • Redirect
Nimekuja kugundua team kataa ndoa wote hawana hela🤣🤣🤣🤣🤣 Nirusheni tu mawe nijenge ghorofa me sijali..... Nomadix Intelligent businessman Bolotoba holoholo and 100 others[/USER
10 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimekuja kugundua team kataa ndoa wote hawana hela🤣🤣🤣🤣🤣 Nirusheni tu mawe nijenge ghorofa me sijali..... Nomadix Intelligent businessman Bolotoba holoholo and 100 others
1 Reactions
Replies
Views
Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi! Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa...
21 Reactions
154 Replies
9K Views
Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya na kiakili, ingawa ni muhimu kutambua kuwa faida hizi zinaweza kutofautiana kati ya watu kulingana na hali ya afya, mahusiano...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jambo nimeona niulize,kwa nini mabinti wengi weupe,wanaume wanawaita wazuri,warembo lakini wanawake weusi ni wachache sana kuitwa wazuri,weusi wazuri tena wanaitwa black beauty. Kuna rafiki...
2 Reactions
76 Replies
22K Views
Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima , Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine...
31 Reactions
200 Replies
5K Views
Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba. Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya...
19 Reactions
193 Replies
9K Views
Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.” Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana...
5 Reactions
46 Replies
903 Views
Habari za muda huu, ni siku tulivu sana hapa. Jiji la Dar es Salaam kumekucha salama, ingawa kulikuwa na upepo wa baridi sana, poleni na natumaini kila mmoja wetu ni mzima kabisa. Nawatakia kila...
49 Reactions
374 Replies
36K Views
Back
Top Bottom