Wapwa Bora hamu ya kua na mtu umpendae yaan akiumwa,akipata shida, upo Kwa ajili yake yaan hamu ya kua nae ni kubwa.
Au wajibu unapata mtu anaekuelewa zaidi anakua na wajibu juu Yako anatimiza...
Juzi kati nikiwa na wife wangu katika mizunguko ya hapa na pale town ghafla akapita dada mmoja amevalia skirt nyeusi fupi mno na high heels bila shaka dada yule atakuwa mtu wa kusin kwani alikuwa...
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo...
Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa...
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea.
Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa.
1. Tamaa
Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani...
Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni...
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa...
Salaam wadau,
Maisha yanatupa zoefu nyingi sana, zenye matokeo chanya na wakati mwingine zinaweza kukuachia alama ya uchungu isiyosahaulika. Mara nyingi sio kwa kupenda au kuridhia maisha...
Mzuka wana j.f Miaka 2 iliyopita nilianza mahusiano na dada ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, ilikuwa kama utani lakini nilijikuta nampenda. Mke wangu naye ni mfanyakazi, tunaenda kazini...
Mara kadhaa huwa nikiboeka napita YouTube nakucheka sana visa Mikasa na kujifunza sana kuhusu hawa wanawake namna gani wasivyokuqa na shukrani na vile wanatamaa zaidi ya fisi.
Hapa chini ni kisa...
Unakuta unakazana kusugua, unapambana kama unaua nyoka halafu jitu limekutolea macho tu au linakatika bila kutoa sauti yoyote.
Hapa ndipo mnapozidiwa na vitoto vitundu vya 2000s.
Asanteni. Ni...
Mwaka huu 2024 mwezi wa nne.
Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka.
Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana.
Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku...
Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi
Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume
Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona...
NI MWIKO.
Hii ni code ya enzi za mababu. Kwa zama hizi vijana hawapewi tena a,b,c za maisha, basi wanajiendea tu.
Single mama wapo toka enzi na enzi. Na walikuwa wanaolewa sana, lakini kuna...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy...
Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa...
Kuna uzi nimesoma leo nikakumbuka kisa kimoja. Kwenye huo uzi mtoa mada anasema kwamba kutokana na biblia kufanya mapenzi na mwanamke alie kwenye siku zake ni dhambi
Hio ikanikumbusha zamani...
Habari za jioni mabibi na mabwana
natumaini hamjambo nyoote,
Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk.
Mimi ni...
Habari za jioni.
Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke...
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.