Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi
Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja...
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa...
Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua.
"Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa...
Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi.
Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa.
Anaamua kuachana kabisa...
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;
Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti...
Poleni na kazi wakuu, hapa mtaani nilipopanga kuna mke wa mtu, kidogo hua tunapenda kupiga story, za hapa na pale na kiukweli anapenda sana kampani yangu, yeye na mme wake wana miaka 8 kwenye...
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.
Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu.
Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia...
USIFE HARAKA MPENZI WANGU
HANA haraka anapotembea, ukimtazama anaonekana kujiamini sana. Tabasamu mwanana linaupamba uso wake, lakini mavazi yake yanaonesha asivyo mtu wa dhiki! Hata kama siyo...
Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema."Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa...
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,
Mwanaume akinipenda ajipange
Silali njaa.
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha...
send off kali sana.
33 People Invited Only na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii maana hakuna siti ya ziada.
1...
Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi.
WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn...
Tafuta hela; aliyekwambia yupo kwenye mfungo amerudishwa kwa gari na Bae wake jioni hii, muda huu anaelekea bafuni kuoga.
Tafuta hela; aliyekwambia kuwa huu ni mwezi wa mfungo usimtafute...
Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake .
Hivyo katikati ya safari yako unaweza...
Wakuu kwema..
Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata...
Sehemu ya Kwanza: Ndoa ni Zaidi ya Mapenzi
Maneno ya busara: "Oa kwenye familia ambayo hata mtoto wao wa kike akiumwa sio lazima ukoo wao mzima ukae kikao ipatikane 200k."
Maisha yana changamoto...
Naposema mwanaume ukiwa handsome, namaanisha mwanaume ukiwa na sura nzuri ya kiume, mrefu, na mvuto kama wote, asilimia kubwa ya wadada utakaowatongoza hawatakuomba hela muda mfupi baada ya ww...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.