Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?.
Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya...
"Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo.
Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume...
Habari wadau, niseme tu Moja ya kitu kinachoniumiza na nilifanya moyo wangu utatulia ni kukutana na mwanamke bikra na kumtoa bikra, katika ujana wangu nimebahatika kuoata wanawake wawili bikra ila...
Wakuu habari,
Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,
Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?
Ujumbe
"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye...
Kila kitu kilienda kama kilivyo kua kimepangwa mpaka pale mama moja lie zalishwa na bwana harusi alivo leta mtoto wa bwana harusi kama zawadi ya harusi kwa bibi na buana harusi.
Wanawake wengi...
Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?😎
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea...
Tuna mengi ya kujivunia sisi kama akina mama, dada, wake, watumishi, wafanyabiashara, wanajamii na nguzo muhimu ya familia. Binafsi najivunia kuwa mwanamke anayetengeneza kizazi bora kijacho kama...
Nawatakia wanawake wenzangu heri ya siku ya wanawake duniani. Tuna mengi ya kujivunia sisi kama akina mama, dada, wake, watumishi, wafanyabiashara, wanajamii na nguzo muhimu ya familia.
Binafsi...
Nawatakia wanawake wenzangu heri ya siku ya wanawake duniani. Tuna mengi ya kujivunia sisi kama akina mama, dada, wake, watumishi, wafanyabiashara, wanajamii na nguzo muhimu ya familia.
Heri ya...
Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi
Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu
Huyo kijana mimi nampenda na...
Habari ndugu yangu. Bila shaka upo salama kabisa na Afya tele . Pole kwa misukosuko ya hapa na pale katika kulisaka tonge 🙏
Waungwana maisha ni safari ndefu ila sio kwa Kila mtu inakuwaga ndefu...
Kuna aina maalum na ya kipekee ya watu ambao hawapendi kwenda nje na wanapendelea kukaa kwenye vyumba vyao tu,
Wanapoenda mahali fulani, hukosa upweke wao wenye kupendeza.
Hawa ni watu ambao...
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani...
Kuna msemo maarufu kuwa "binamu nyama ya hamu" ijapokuwa haijahalalishwa ila kuna matukio tu mengi ya watu kutembea na binamu zao au ndugu zao either kwa bahati mbaya au mazingira tu!! Binafsi...
Kuwa mke sio kazi rahisi, khususan kuwa mke bora na sio bora mke. Lakini, iwapo unafanya mambo haya 14, kuna nafasi kubwa mumeo anajua kwamba ana mke bora kwenye uso huu wa dunia.
1. UNAFURAHIA...
Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba...
Shaloom,
Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka...
MWANANGU USITEMBEE NA MUME WA MTU ..
Binti mmoja alikua anatembea na mume wa mtu, alikua akifanya kwa siri lakini Mama yake alijua, baada ya kuona vile Mama yake alimkalisha chini na kumuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.