Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari? Hivi kitendo hiki cha watu kulana mpaka kunatiana linasababishwa na nini? Maana huku kwetu tumezoea kuona mbwa zikikabiriana na janga hilo, sasa hii ya partners people kunatiana sijui...
9 Reactions
177 Replies
31K Views
Ukweli wanaume wote wanaujua ila huogopa kuusema ili dada na mama zetu waheshimiwe. Licha ya usemi utamaliza mabucha nyama ni ileile....lakini kiuhalisia sio kweli. Jamani nyama ya nundu...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Mwenye mume akionyesha picha ya ndoa. Amenaswa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kukutwa chumbani kwa mume wa mtu na mke wa...
3 Reactions
31 Replies
11K Views
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwanini wadada wa kizanzibari hawana chura asilimia kubwa? Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Mpenzi wako kuwa na mtu mwingine kimapenzi,au kuwa na hisia kwa mtu mwingine...? inasemekana wanaume Enzi hizooo,walikuwa wanaumia wake zao wakifanya mapenzi na mtu mwingine sababu ya kutokua na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa...
37 Reactions
170 Replies
6K Views
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba...
25 Reactions
229 Replies
9K Views
Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE. Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi...
28 Reactions
134 Replies
4K Views
Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake...
13 Reactions
96 Replies
2K Views
‘’usiwekeze hisia zako kwa mwanamke Jambo la kwanza …kichwa cha habari hakisemi usimpende mwanamke . KInasema usiwekeze hisia zako kwa mwanamke . Njia pekee ambayo unaweza kutapeliwa...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Kabla haujasoma, kama unajijua una Low IQ, pita tu kaendelee kuangalia picha za ngono, maana hii inahitaji watu wenye high IQ pekee kuona na kuelewa ninachozungumza. Maana najua comment yako...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja amemuacha mume wake na kuolewa na mfanyakazi wa benki aliyemuidhinishia mkopo kwa mahitaji yake. Mwanamke huyo, ambaye inasemekana hakuwa na furaha na...
3 Reactions
8 Replies
448 Views
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu...
14 Reactions
67 Replies
2K Views
Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze...
34 Reactions
51 Replies
1K Views
Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna...
5 Reactions
12 Replies
852 Views
Wakuu, Nafahamu ya kwamba, wapo experts linapokuja suala la papuchi hasa ktk kutoa bikra Mimi mjina mrefu pamoja na pita pita zangu, nimekula papuchi kadhaa ila sijawahi kubahatisha Bikra. Hivi...
2 Reactions
48 Replies
20K Views
1. Ikiwa anakupenda kweli, atafanya mambo kuwa rahisi kwako. Hakuna udhuru, hakuna michezo ya akili - utapatikana. 2. Tayari anajua ikiwa atalala na wewe au la. Acha kufikiria unaweza...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
HabarinI ndug zangu Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman). Je? Wew ulio katika...
6 Reactions
27 Replies
582 Views
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa...
22 Reactions
223 Replies
4K Views
Back
Top Bottom