Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Bila kuwa alpha male wanawake watakupelekesha, watakuendesha, watakupanda kichwani. Your alpha character is your immune system , once it's weak you left vulnerable to all these viruses and...
20 Reactions
16 Replies
1K Views
Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako...
14 Reactions
141 Replies
2K Views
Kutokana na jua kuwa kali, ardhi kuwa kame, na mazao kukaukia shambani; baadhi ya wazazi wamekuwa chachu ya kuwashawishi mabinti zao waingie kwenye mahusiano biashara. Yaani mdada anaingia kwenye...
4 Reactions
22 Replies
436 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Poll Poll
Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu. Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia. amini usi amini...
43 Reactions
554 Replies
6K Views
Mzuka wanaJF dume rijali la JF mwenzenu nipokatika majutoo jamanii kamsaada... Nilikuwa na mke mzuri, mwanamke aliyekuwa nguzo ya familia yangu. Alijitoa kwa kila hali, akahakikisha kila kitu...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na...
7 Reactions
21 Replies
526 Views
"Je, kuna sababu yoyote ya mtu kupendelea kuwa na kahaba kuliko kuoa ama kuwa na mahusiano rasmi? Niliona wengi wakijadiliana kuhusu hili na ningependa kujua mawazo yenu." Mdau wa 1: "Kwa...
3 Reactions
27 Replies
648 Views
Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha...
54 Reactions
170 Replies
6K Views
Wakuu zengwe hili limetokea Leo hapa mtaani Binti kamaliza chuo anataka kuoelewa na mwanaachuo mwenzie Ambae ndio kwanza ananijitafuta. Baba amekataa kuonesha😂akidai ni dharau binti ameahidi...
10 Reactions
59 Replies
1K Views
Tuweke unafiki pembeni tuongee ukweli, historia ya mwanamke ni kipengele cha kukizingatia sana, na ninachokoandika hapa ni moja ya sababu ya kwanini unatakiwa kuoa mwanamke ambae umemkuta akiwa...
34 Reactions
125 Replies
3K Views
KAKA USICHOKIJUA KUHUSU MWANAMKE Kaka nakuibia siri mwanamke hapendi kutumia mto kuegeesha kichwa chake chunguza uone Mwanamke hupenda kulaza kichwa chake kwenye kifua cha mwanaume wake au alaze...
5 Reactions
10 Replies
822 Views
Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali. Kwa kutambua uwepo wao na...
4 Reactions
9 Replies
172 Views
Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana. Apo kwanza ngoja nicheke. Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine...
16 Reactions
152 Replies
3K Views
Nikitizama taswira nasuuzika Nikisoma maandishi yake nahorojeka Akiwa anazungumza / kujibishana na watu naburudika.... Japo ashawahi nikasirisha ila anajua kunifurahisha na kunisahaulisha...
7 Reactions
107 Replies
8K Views
#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki. Wapo wanaodhani ni...
16 Reactions
101 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wanajf!! poleni na majukumu ya siku ya Leo!! Niende moja kwa moja kwenye mada. mimi ni kijana Nina miaka 21. Nina tabia moja ambayo nashindwa kujua ni tabia ya aina gani...
6 Reactions
145 Replies
10K Views
Habari za saa hii wana MMU! Leo nimekuja mbele yenu kuwashuhudia wema ambao Mungu amenitendea. Nilipokuwa likizo mwaka juzi nilijikuta naanza kamchezo ka nyeto baadae kakaninogea but kwa bahati...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Nlikuwa chuo miaka ya nyuma huko naishi na jamaa mmoja mkwavi sana, yule mkambala alikuwa ana tabia za kijuvi na kibazazi hasa. Alikuwa akianza kufahamiana na mwanamke anaenda kwenye kabati lake...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom