Application zinazowekwa kwenye simu za kisasa (Smartphone) zinafanya udanganyifu kwa watu walio kwenye uhusiano wa kimapenzi kuwa mgumu zaidi kubaini. Zama za mpenzi kumnasa mwenzie kilaini laini...
Salaam wana JF,
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wakisema wanawake weusi ni watamu kuliko weupe, hili lina ukweli wowote? Wakuu kuna mwenye kufahamu ukweli kuhusiana na hili atujulishe...
Siku ya jana Jumapili nikiwa nimechill home ilikuwa ni mbaya na nzuri kwangu, Ilikuwa nzuri pale nilipopigiwa na "Mdaiwa Sugu" kwamba anataka kurusdisha pesa niliyomkopa january 400,000 taslimu na...
Habari zenu
Leo nimekutana na jambo hospital ikanibidi tukumbushane wakuu.. mama alikuwa anambadili diaper mtoto wake me nipo karibu mtoto kanangozi kama ya mamba huku akianimbia kwa madaha...
Jamani katika pitapita zangu nilikutana na mijadala huu watu wakizungumza .......
Hivi ikitikokea kijana wa kiume ukawa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri au mwanamke ambaye kiumri ni kama...
Nimekuwa nikifatilia Sana maswala ya mahusiano Kwa nyakati tofauti .
Leo napenda kugusia hili eneo ambalo watu wengi hawalifahamu kuhusu 'KUTEGEMEA'
Binadamu wote kimaisha wanategmeana...
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na...
Inaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda...
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka...
MDAU ANAOMBA USHAURI
"Mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwenye familia ya watoto wanne kwa wazazi wetu huko Moshi - Kilimanjaro.
Nilikuja mjini Dar es Salaam kwa kusaidiwa na kaka zangu wawili hasa...
Wanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa...
Huyu dada toka mwaka 2013 nlikuwa namfukuzia .alinambia tu black and white hawezi nipa penzi lake tuwe marafiki tu.maana ana mwanaume tayari anayempenda sana.
Basi nikapiga moyo konde sikupunguza...
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo...
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi...
Asaalam.
Wote tuliopo humu ni wapenzi wakubwa wa mitandao ya kijamii tukianza na huu uliyotuleva yaani JF.
Nguvu ya mitandao ya kijamii kututoa katika uhalisia tunaoishi ni kubwa saana. Muda...
Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
Nanataka nibadilishe dini kwetu wana...
Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii...
Huwa najiuliza inakuwaje binadamu unafanya ngono na midoli?
Unakuta mwanamke ana wapenzi wa kutosha ila kwenye pochi ana livibrato. Mwanzoni nilidhani haya madude wanayatumia masingle girl kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.