Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanawake wana mambo ya kiduanzi sana. Hasa wa miaka hii kwenye ubongo hawana kitu yaani unakuta wana papuchi tu kichwani kumejaa makamasi. Leo nlikuwa na demu wangu sehemu tunapata Supu na...
14 Reactions
35 Replies
1K Views
Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia...
57 Reactions
829 Replies
167K Views
Iko hivi, nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa. Nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
8 Reactions
52 Replies
1K Views
  • Redirect
Ulimi,aisee ni kiungo muhimu mno maana hutumika kulamba,kuonja na kusaidia utafunaji.Ulimi unalamba vizuri sana,unaonja kila chakula na kukupa majibu na unajua sana kutafuna kila chakula.Muhimu ni...
1 Reactions
Replies
Views
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba...
5 Reactions
35 Replies
634 Views
Wadau wa JF, poleni na majukumu ya Leo. Leo hebu tuweke mambo wazi, maana kuna baadhi ya wanawake ukiingia nao kwenye mahusiano, utatamani kurudi kwa ex wako wa chuo ambaye ulimuacha sababu tu...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote, maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio, "si uvue, sina...
10 Reactions
151 Replies
36K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok...
17 Reactions
147 Replies
10K Views
Katika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu. Lakini pia si mtu...
26 Reactions
160 Replies
4K Views
Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona. Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea...
32 Reactions
377 Replies
7K Views
Kwenye hatua za makuzi ya mwanadamu kuna hatua mbalimbali hupitia kuanzia kutungwa kwa mimba mpaka kifo; Utotoni Ujanani Utu uzima na Hatimaye uzeeni Kila hatua hapa huwa na mambo yake ambayo...
11 Reactions
88 Replies
13K Views
Nipo safarini Dar nimepata hotel moja mitaa ya Kinondoni, Tangu saa saba usiku kuna vurugu zinaendelea chumba cha pili Mmwanamke kavua zote kasoro chupi anasema hata iweje hiyo havui na kama jamaa...
21 Reactions
308 Replies
72K Views
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri. Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje...
17 Reactions
296 Replies
31K Views
Aslaam, Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu. Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha. Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala...
23 Reactions
202 Replies
4K Views
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi...
74 Reactions
381 Replies
16K Views
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na...
32 Reactions
196 Replies
7K Views
Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni...
6 Reactions
23 Replies
826 Views
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada. Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
67 Reactions
6K Replies
847K Views
Ndugu jamaa na marafiki wanaume wanapitia shida hii yakushindwa kumridhisha mwanamke kwenye tendo lakini sikitu kikubwa sana chakufanya ni kucheza na hisia zako wakati unapasha ili usmalize...
6 Reactions
35 Replies
723 Views
Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana. Lakini...
8 Reactions
37 Replies
794 Views
Back
Top Bottom