Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa...
SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!.
Na, Robert Heriel.
Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio...
Wakuu amani iwe nanyi, last week kuna kadada flan iv kapo mkoa wangu, niwe muwazi nilikaona fb tu nikakachokoza tukapeana namba, tukachat mpaka kufikia stage ya kukulana (mahusiano)
Sku ya...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Mimi ni mmoja wa shuhuda wa tabia zetu wanawake ambavyo zimepoteza speed governor. Hasa sie tunaoitwa single mother.
Lakini leo kuna jambo nimekutana nalo na nikatamani kutaka kujua hivi bado...
Salute
NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza...
Mapenzi siku zote tunasema ni two ways directions not one way directions na ukiona upo katika penzi la one way directions ujue kuna tatizo
Kiasi cha kwamba wewe ndo unajitahidi kumuonesha mwenzio...
NDOA YENYE FURAHA HUDUMISHA UPENDO WA DHATI
Ndoa ni nini? Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke unaokubalika kiutamaduni na kidini ambao unatarajiwa kudumu, kuwapa haki sawa za kijinsia na...
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Juliana Shonza lazima uelewe hakuna Baba asiyeweza kutunza Mtoto wake. Huyo Baba hayupo.
Kama wanawake wametelekezwa kwa Sababu zozote zile kama hizo ulizotaja...
Imekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume.
Either ni Mwanaume
1. Mwenye pesa
2. Handsome
3. Ana ushawishi...
Jumanne njema watafutaji wenzangu,
Baada ya kusaka nyau ya big booty kwa wiki 3 mfululizo hatimae nikaangukia kwa dodo lenye msambwanda wake basi baada ya kukusanya stress za wiki nzima jumapili...
Mimi sio mtu ninaependa hovyo.
Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia.
Sasa huyu single mama anashida...
Kwa kweli nimesikitika sana
Nimekutana na huyu mama akiwa na mtoto wake wa miaka sita akiwa anampeleka shule😭😭
Mwanaume aliyembaka alishakimbia kitambo sana
(nimetumia rape nikiwa na maana huwezi...
2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3.
Msela nikazama hivyo...
1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable...
Habari za asubuhi Wanajamiiforums.
Leo nawakumbusha Vijana.
Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
Aisee mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama nimepata na tatizo alafu unanionea huruma na haunisaidii hii ipo zaidi kwa wanawake Mwanamke kama huwezi msaidia mume mpenzi wako huna haja ya kumuonea...
Katika kizazi tulichopo ndoa ni concept ambayo tayari imeshapitwa na wakati. Muundo wa ndoa ulisukwa kwenda sambamba na mfumo dume, katika zama hizi za usawa wa kijinsia lazima taasisi ya ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.