Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka.
Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu.
Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo...
Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka...
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery...
Nilitembelea nchi ya Botswana miaka ya 2008, nilikutana na jumuia ya wa-Tanzania na kama mnavyojua tukikutana nje ya nyumbani ukute mtu anaongea Kiswahili mnajiona kama mmetoka familia moja...
Tuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke...
Habari za saa hizi wana jukwaa.
Kwanza nikiri kabisa, nimekuwa single kwa mda mrefu na hii ni kutokana na kukataliwa na waschana wengi niliokuwa nikiwatongoza. Baada ya hapo nikaamua kupotezea...
Katika pita za hapa na pale nimeona wanaume wengi wakipoteza fursa kutokana na kushindwa kusoma lugha za mwili za wanawake. Forget about kung’ata nyasi. Leo ntawashushi baadhi baadhi ya lugha za...
Kila mtu huwa na taswira ya mke/mme amtakaye. Ni kweli kabisa, maisha hayana kanuni lakini nakuhakikishia kanuni zipo, haipo moja zipo nyingi.
Ili maisha yaende kama ulivyopanga lazima uwe na...
Habari za mchana wakuu.
Bila kupoteza muda naenda kwenye mada husika.
Imekuwa kawaida sana hususan sisi wabongo(wengi wetu)kuwachukulia waiter au waitress watu wakawaida sana wanapokuwa kazini...
Wakuu
Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu
Maswala ya kitandani hata binti wa under 20...
Habari zenu wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada, nipo kwenye mahusiano na binti mmoja sasa ni mwezi wa 4 na pia kiumri ni kama tumelingana sasa kwa sasa nipo nje ya mkoa ambapo binti anaishi...
Jaman tushazoea joto naona mvua zitakuja Kwa Kasi jijin bongo tuliozoea kwenda Kwa dada poa speed ipungue USAID haileti msaada.
Tufe na ngenye zetu 😹😹 maan Ata nyeto haitanoga na ili baridi just...
Habarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla...
Natafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/...
Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi? Hawapendi kudandiwa pale mwanaume unapotaka kufanya tendo na mkeo au mchumba usijaribu kumdandia bila kumuandaa mwanaume...
Habari ya mchana wana jf
Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani.
Mimi nina...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, Allah ameniruzuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.