Kipindi cha nyuma 1985-2000 simu zilikuwa nadra sana,
Lakin pamoja na uchache wa simu, watu walitia maneno mpaka wenza wao wakawaelewa,
Kwa wale wa juzi juzi mmerahisishiwa kazi sana,
Mtu...
Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea
Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nacheki series moja sebuleni wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa naview status za whatsap...
Habari wakuu, Mwaka ndio tunakaribia kuumaliza japo bado ila lazima tuseme tumepiga hatua kubwa hadi hapa.
Ndani ya Mwaka huu najua ulikuwa na malengo yako ila lazima kama binadamu uliekamilika...
Si vibaya tukawa tunashare stori za hapa na pale. Zinatuwezesha kujifunza lakini pia kutupa Burudani.
Mwezi uliopita nikiwa katika Mishe mishe zangu nza kusaka Maisha nikiwa nimebeba mafaili ya...
Hii ndoa inakoelekea bila msaada wa Mungu hii inaelekea kwenye mgogoro mkubwa.
Kisa kiko hivi ,
Hii nyumba tuliopangisha tunaishi na Dereva wa Malori ambae ni Bachelor, huyu jamaa anaporudi...
Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania.
Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa...
Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa .
Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya...
Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya...
DISCLAIMER: Usisome wala usicomment kwenye hii post kama unajiona ww ni mtakatifu sana
Zamani Swala la kuzama chumvini lilikuwa ni jambo la ajabu na kutia kinyaa, sahivi limeonekana ni jambo la...
Nimekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu kidogo na mke wa mtu(mchepuko), na tulifahamiana miaka hiyo akiwa chuo akisoma; kipindi hicho nilikuwa nikimsaidia kwenye baadhi ya mahitaji yake ya msingi...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
Kitabu Cha
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena...
Habari,
Ni hivi, mdada ana mwanaume wake lakini kuna muda hamuelewi kwenye swala la mawasiliano, ni kweli kuna muda anakua busy na kazi na pia mtandao unasumbua kwahiyo mkaka huwa ana mtext mdada...
Wakuu kama nilivyo wajuza kuwa nimehamishiwa Karagwe kikazi, nimepitia Dodoma kukamilisha kazi fulani kabla sijaenda kuripoti Karagwe.
Leo nimepata hamu ya kutembeza bakora nikapewa chimbo moja...
Wanajamvi jamvini,
Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula.
Sasa nikiwa na mademu zangu wa...
Nimewaza sana,
Yaani mwanamke anapiga ngumi kama bondia kwa mwanaume ambaye hajamgusa. Kama roho wa Mungu hayupo karibu nawe, nakwambia kuna watu wanaweza gawana majengo.
Habari ndugu zangu....
Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga.
Maisha yangu ni ya kawaida, nafanya...
Habarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla.
Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha...
Habari wana jamvi!
Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa...
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.