Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na...
Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha.
Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu...
Nipo zangu kwenye mgahawa, napata menu, halafu kuna binti naye yupo hapa. YAAANI mwanamke msumbufu kwenye kuagiza chakula mpaka unaanza kujiuliza huyo jamaa wake huko nyumbani anapitia nini...
Video inaonyesha wanaosadikika kuwa ni wapenzi wakishirikishana mambo.
Kilichofurahisha ni namna walivyokuwa wanaonekana ku bubujikwa na upendo hadharani.
Wabongo mnaweza haya mambo? Au ndio...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia"...
Hii tabia ya wanawake kupenda kula vingi vya mwanaume, kulelewa au kupata kila kitu kwa wanaume itakuja kufikia mwisho?
Kasi ya wanawake kufundishana kupata vitu kutoka kwa wanaume inazidi kila...
Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.
Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana...
WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA...
Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu
Kwanini ni potofu, ukija kwenye...
Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida...
Kwa mtizamo wangu najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu 😎
Lakini nikiangalia upande wa misimamo ya kama Baba wa familia najiona sina .Ati nifanyaje ili nioe ?
Wakuu,
Omba yasikukute, narudia tena omba yasikukute, kufuta namba ya simu ya mtu uliyekuwa unampenda kwa dhati ni jambo gumu mno.
Wakuu, mpenzi wangu amefiwa na shangazi yake ambaye kiukweli...
Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Hili Jambo Mjomba...
Hii haishii tu kwa wanaume hata kwa upande wa wanawake.Kwanini wanawake wenye tabia nzuri sana huishia mikononi mwa wanaume wasiokuwa na nia njema .
Ujumbe huu utakuletea mwanga kuelewa undani wa...
Nakumbuka kuna mkaka alijisifia, maneno mengi kabla ya mechi, baada ya kumsusia mbususu dakika tano nyingi kamaliza, wakati anamwaga tui yule kaka alipiga yowe na kuanza kulia machozi kama yote...
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda...
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza
Lakini tunaambiwa kati ya...
Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha,
Nikaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.