Habari zenu.
Jana nilikuwa mgahawa fulani hapa mjini. Katika story story kuna dada akaanza kulalamika umri unazidi kwenda na hawapati mwenza na wengine wanaanza kulalamika pia juu ya...
Kwa wakati huu niko mpweke nimejiegesha kichwa hakisomi kabisa nimejikuta namiss kuona sms ya baby nimeshindwa kulala nakuwaza ama nyinginezo kama hizo.....daah upweke unaumaa(in voice of mama...
Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona...
Asubuhi ya Leo nimerudi kazini nikiwa najiskia vibaya kweli..
Mume wangu ikabidi anisaidie kuniandalia chai wakati huo Mimi Niko chumbani
Wakati huo simu yake ilikuwa kwa dressing table
muda...
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa...
UKIONA WANAKUKUMBUKA TU WAKIWA NA SHIDA JUA UMUHIMU WAKO NI MDOGO KWENYE MAISHA YAO MENGINE 😔
Ukitafutwa kwenye shida tu tafasiri ni kuwa muda mwingi wakiwa na raha hutumia na wengine ila kwenye...
Kila nikutanapo na majina haya
1. kapeace
Nadhania kichwani kwamba ni mdada wa makamo ambaye ni mrefu si sana ila ana mguu fulani wa bia, ambaye natambua fika kwamba kaolewa na mumewe ndo...
Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.
Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke...
Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa...
Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe.
Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe.
Examples of Questions;
Unamwanaume, Yes or no
If yes, vip...
Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani...
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out
Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa...
Tuliombre mno taifaletu pendwa,
At this age above37,nimeona mengi na nimekwepa mishale mingu mno,haikua kazi rahisu
Leo naomba nishee nanyi sababu za kwanini sina chuki moyoni mwanguna...
Habari za mchana huu.
Naomba nizungumzie jambo moja lisilo zuri leo.
Kumekuwa na tabia ya kusimanga wanawake ambao hawajaolewa na kuwafanya wajione hawafai. Watanzania wenzangu hii tabia sio...
Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu...
Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa?
Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu...
Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much
Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana
Na nikiendelea...
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe.
Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima.
Kilichoniuma zaidi ni...
Wanajamvi jana nilileta uzi humu kuna mtoto nilimkataa miaka minne iliyopita na wamerudi mtaa niliopo yeye na mama yake, sasa muda huu kaja dukani tena aisee nashangaa anafika anasema baba...