Ninatoka familia duni sana ambayo kipato chao,mlo wao na ata makazi yao ni duni sana
Nina wakubwa zangu Ila na wao wote wana familia zao na wao pia hali zao zipo chini sana kiuchumi, kwahiyo pale...
Kuna binti kaja kwenye kikundi leo analia, jana mume karudi nyumbani amelewa binti kafungua simu amekuta meseji za kimapenzi za wanawake, picha za utupu kutoka kwa wanawake watatu na wawili kati...
Hatua hizo 6 ni kama ifuatavyo
1.FAHAMU UNAAMINI KITU GANI KUHUSU WEWE MWENYEWE
Watu wengi huishi bila kujua wanaamini kitu gani bali hujikuta wanafanya vitu kwa mazoea bila kujua nini chanzo cha...
NIGHT MOOD THREAD.
Mwanamke kufika kileleni(kukojoa kojo Zito jeupe) ni kitu kitamu zaidi ambacho mwanamke anaweza kupata katika ulimwengu huu mpana na mzuri, na hufanyika ndani ya sekunde chache...
Habarini
Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi...
Habari wana JamiiForums,
Napenda kujua kama kuna uwezekano wakwenda mahakamani kudai haki endapo umelea ujauzito mpaka kujifungua kwa mtoto ukiamini ni wako mpaka mtoto anakuwa mkubwa unambiwa...
Habari wanajamii forums!
Naomba MSAADA Kwa yeyote atakayekuwa anajua ndugu yeyote WA PRISCUS ALOYSE MATEI ambaye Kwa sasa ni marehemu, kabisa mchanga wa Moshi, alifariki 2013 kama sikosei. Nia na...
Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity...
Mwanaume chukua hii itakusaidia usiue, usijiue wala usiuawe
Iko namna hii;
Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa...
Wakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani tabia hii kwa...
Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990.
Huyu kijana namfahamu sana na tumewahi kukutana nae mara tatu mara ya kwanza nilikutana nae nyumbani kwao na mara mbili...
Nilikutana na rafiki niliyesoma nae msingi miaka mingi mno iliyopita akiwa kwenye gari stendi tayari kwa safari.....nami nilikuwa nafika hapo kwa ajili ya usafiri wa kwenda sehemu. Tukiwa na hamu...
Habarini,
Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa...
Wakuu,kwenye mahusiano tunakutana na watu wa aina mbalimbali na wakati mwingine unaweza kukutana na mpenzi ambae wakati wote wa mahusiano yenu utajikuta mambo yako yanaenda safi sana yani kila...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa umri miaka 23, nipo kwenye wakati mgumu kwa sasa kuamua kikwazo hiki kikubwa kilichopo mbele yangu. Kuna msichana mmoja nilimpenda sana pindi tukiwa chuo na kila...
Wadau amani iwe kwenu.
Nina dada yangu aliekuwa na mchumba aliepatana nae wakiwa chuo kikuu huko Dar Es Salaam.
Baada ya chuo kila mmoja akaenda njia yake kurudi makwao likizo.
Bahati nzuri...