Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu...
Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi.
Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao.
Kwa utafiti...
Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi
NANUKUU..
Wahenga walisema "kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza hapo hapo wakatuambia mavi ya kale hayanuki"
Enyi...
Utani ni nini?
Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake.
Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea...
Eid Mubarak y’all…
Napenda kuomba radhi kwanza kwa maneno makali/yasiyo na staha niliyotumia katika katika mada hii, I failed to put it together. Samahanini kwa wote ambao andiko hili litaSound...
Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄
Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini...
Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake.
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha.
Hakikisha...
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada...
Wakuu habari.
Huu ni muendelezo wa kile nilichowaambia kinaitwa (Blackmail)
Mtaani ninapoishi - huwa nina utamaduni wa kununua vitu vingi vinavyohusu Chakula na kuweka Ndani.
Kikawaida Mimi sio...
Machi 8 kila mwaka, wanawake mnasherehekea siku ya mwanamke duniani. Bahati nzuri ni kwamba asilimia kubwa ya wanawake siku ya tukio.....
1. gharama za vitenge mnavyoshonesha,
2. magari binafsi...
Madume wenzangu majabali, ukweli ni kwamba hawa watoto kike wa kiislamu ni watamu balaa, wazuri, watundu kunako, sasa kesho waanza mfungo itakuwa mwezi wote huu?
Turudi kwa kina manka kwa kichaga?
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini...
1. Ana mwanaume zaidi ya mmoja
2. Ni mshirika wa Ibada za Shirki
Last but not listed: kuna mstari mwembamba kati ya shanga zile wanazovaa na mambo ya kucheza mechi za Kinyume champion League...
Wana ndugu Habari za muda huu, naombeni ushauri wenu wakati kama huu naona mtanisaidia kwa mawazo pia
Na Mpenzi wangu tulipendana sana na penzi letu sasa hivi lina kama miaka 4 Na kama hakuna...
Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa...
Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani
Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
Wakuu huyu bidada simwelewi kabisa tulikutana kurahaika.
Sasa nimemkabidhi P2 avimeze tumalize kesi. Naona bidada katia mguu chini hataki kumeza wakati kakidonge kenyewe ni kadogodogo tu tena...
Ni kwa kiasi gani mwanaume afanye ili mwanamke aoene hata inatosha amid dunia ilivyokuwa chungu, haijawahi kutosha kwa mwanamke, anaishi huku akiisemea nafsi yake kuwa kuna "kuna cha ziada zaidi...