Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua...
12 Reactions
83 Replies
4K Views
Ndio ivyo Swali lijibiwe kama lilivyoulizwa Au wewe orgasm yako ni pesa, ukipewa pesa ndio unaipata? Happy Valentines Day to you all
0 Reactions
8 Replies
317 Views
Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex...
9 Reactions
64 Replies
1K Views
Ndugu zangu hamjambo? Jamani nina mpenzi tumedumu muda sana tu na tumepitia vipindi tofauti yani ups and down. Kuna kipindi tulikosana na mimi nikajitahidi kumuelewesha lakini akawa hataki hata...
5 Reactions
76 Replies
7K Views
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu...
30 Reactions
164 Replies
5K Views
Habari zenu bana. Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake. Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama...
9 Reactions
33 Replies
724 Views
Habari Wana JamiiForums Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano • Kipato • Chumba uwe umepanga • Shughuli yoyote itakayokuweka ubize Vingine Wadau Ongezea kama...
4 Reactions
9 Replies
331 Views
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe...
6 Reactions
41 Replies
800 Views
Habari za leo wapendwa? Kuna jamaa yangu ana galfriend wake anasoma Mzumbe ya Mbeya. Walikua wako poa tu kimahusiano na kimawasliano. Huyu jamaa makazi yake ni hapa Arusha na gal kwao ni Dar...
2 Reactions
71 Replies
14K Views
Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu? Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi...
3 Reactions
262 Replies
21K Views
Nilikuwa nikitafakari hivi wanaume wafupi kwanini uwa wakorofi? Masaa yote uisi wanawake ni kuwabanabana. Mda wote ulalamika sana ni kwamba hawajiamini nn! Na mie nilisha sema siitaji mwanaume...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza. Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile. Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Nimejifunza mambo mengi sana baada ya kunusurika kwenda jela kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mwanafunzi ambaye yupo chuo, japokuwa wanafunzi wengi wa chuo wanajitambua lakini siyo wote. Bora...
9 Reactions
253 Replies
29K Views
Pale unapokuwa faragha na mpenzi wako halafu akataja jina la mshikaji mwingine inamaanisha kuwa umem-do kiwango sawa na huyo jamaa alie mtaja au nini? Halafu unamuulza anakwambia ni jirani yake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam zenu wanaume wenzangu, Mwaka 2006 nilipata matatizo kazini, nikafukuzwa kazi tulishikwa red handed mim ina mwenzangu tukiuza mafuta ya kampuni, nilikua nafanya kazi kwenye kampuni ya...
29 Reactions
189 Replies
27K Views
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah.. Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
24 Reactions
240 Replies
5K Views
Huenda hii ikawa moja kati ya phrase maarufu sana duniani. Lakini je ni kwa Namna gani maisha hayapo fair? Hebu fikiria Snerio zifuatazo. 1. Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Hapa mtaani kuna wadada warembo wenye miaka 22, au 20 kama watatu, wote nawafahamu, wameolewa na wanaume ambao kiumri, ni sawa na baba zao kama si babu zao. sasa najiuliza hao wabinti kwa jinsi...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu sana na yenye furaha ukilinganisha na wale wanaotumia vitu vitamu vitamu kama juisi,soda n.k Hawa wanaotumia vilevi vya pombe huwa wana zile swaga au...
19 Reactions
146 Replies
16K Views
Kumpa mwanafunzi ujauzito na kutembea na mke kipi ni afadhali...! wakuu maana kuna jamaa alitembea na mke wa mtu walimfyeka mkono (story kutoka kijiweni) na kuna co worker mwenzangu kampa...
4 Reactions
60 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…