Habari zenu wana MMU!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna jamaa yangu hapa yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake yapata miaka 6 hivi.
Sasa jamaa alipanga na mpenzi wake kwamba binti akimaliza...
Nimtazamie:
- Kula yake
- Vaa yake
- Suka yake
- Usafiri
- Homa yake
- Vocha plus Matumizi yake madogo madogo ya kila siku.
Return:
Papuchi Naimenya kwa wiki mara 4 tu, Excuse zisizoisha,
Sex ya...
Habari za kazi Ndugu zangu natumai mambo yanaenda salama Salimini
Yapita miezi sasa tangu niachane na mwanamke(girlfriend) niliyekua nampenda sana sana, nakiri wazi nilikua nampenda mno, naweza...
Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!
Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha
Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana...
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE.
- Úkiona msichana ana ujasiri wa...
Habari
Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa
Baadae akafanikiwa pata mtoto
Sasa n mwaka wa 3
Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah
Mkikutanaaaa yaaan...
Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa...
Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na...
Wakuu,
Ningependa tujadili hili suala. Eti, kwa upande wa nyie wenzangu, zipi ni siri za nyinyi kuweza kudumu na wenza wenu{mke, mume, mchumba, gal&boyfriend, hawara etc} mpaka dakika hii?
Huyu mtu ni hatari sana atakuingiza kwenye matatizo kibao na kuna muda hutojua kama ni yeye kwa sababu mkiwa naye anaongea hivi ila mkiachana tu anaongea mengine.
Mtu kigeugeu mtakubaliana jambo...
hizi zinaitwa chastity belts
ni za medivial period (zama za Kati)
zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke
lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa...
Ulichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini...
Watu wengi siku hizi wanaishi Kwa presha sana,hii ni kutokana na kuiga mafanikio ya wengine,
Kama vile,Nyumba nzuri,biashara,usafiri wa uhakika na uwezo wa vitu vingi.
Hii inasababisha...
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye...
Habari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa...
It’s magical– I’m in love again! I don’t know how it happened, but everything just feels right. My heart is full, and it’s like I’m seeing the world through a brighter lens. There’s something so...
Dear Friends,
As I prepare to say goodbye, I find myself reflecting on the wonderful moments we've shared together. Each laugh and each discussion we've shared has made my life richer and fuller...
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Ruvuma...