DEAR LADIES SEX ISN'T ENOUGH PLEASE TAKE NOTE.
It's possible for any man to ask for sex in a relationship, but is left for you as a lady to know that sex, can't keep him (Sex isn't enough)
There...
Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa...
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake...
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre.
Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu...
Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30...
Unaanzaje kwa mfano?
Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?
Hamuoni kama mnawapa dhambi?
Ni kweli masister wa sasahivi ni...
Hi,
Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua...
Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.
Kwa...
Wanaume wameleta sana mbinu za kuchepuka, kama vile hawajui wanawake ndio vinara na kuwashika inahitaji mbinu za ziada (kwa mbinu za kiteknolojia kumshika mkeo, nipm, NB: nasisitiza, ni kumshika...
Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya Ijumaa kuu.
Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nina hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero...
Before sex,you help each other get naked.After sex,you dress only yourself.
Wakuu kwa nini inakuwa hivyo,ni kinai au aibu,kwamba kabla ya kugegedana tunasaidiana sana kuvuana nguo,ila baada ya...
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake...
Wakuu,
Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs.
Sasa, swali ni je? Wamiliki wa...