Salam.
Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema .
Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro...
Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
Mimi na ma mkubwa yangu tunaishi wilaya moja hapa DSM. Siku za weekend huwa nakwenda kumtembelea nipatapo muda ingawa ni weekend moja kwa mwezi mmoja ama miwili
Siku ya jumamosi jioni nilipita...
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao...
Habari wakuu
Utofauti ni upi kati ya malaya na huyo unayemuita demu wako.
Malaya analala na wanaume wengi tofauti tofauti kwaajili ya kupata pesa, demu wako ana msululu wa wanaume kwenye simu...
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
Wasalaam wana jamvi.
Direct kwenye point. Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya swala la kucheat katika ndoa ( sizungumzii wapenzi ambao hawajaoana). Ili swala sidhani wahusika kama huwa...
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe
"Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?"
Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu...
Admin mimi nimeolewa na nina mtoto mmoja wa kiume. Kabla sijaolewa nilikua na mahusiano na kijana wa Kichaga, kiukwel tulipendana na yule kijana alinijali, aliniheshimu, kiufupi tuliishi vizuri...
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe.
Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni...
Habarini wana JF, kiufupi nimeleta andiko hili humu ili muweze kunisaidia ushauri maana naanza kuona sasa hii sio hali ya kawaida maishani mwangu.
Tukiachilia mbali wale wapenzi wa kula...
Bila kupepesa macho, niwaambie hawa wanawake / wamama wenye tabia za kuficha watoto wao wakike baba zao mwache hiyo tabia kwani mnawaathiri sana kisaikolojia.
Hata kama hukumpenda mwanaume ulie...
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu.
Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sijawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine isipokuwa wazazi.
Iko hivi, huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi...
Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3
Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni...
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka...
Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lakini unavyoona wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.