Wakuu,
Kumpata mwenza mnayeendana sana kunako faragha kiukweli ni suala la bahati Sana Hapa duniani.
Kwa wengi huweza kujitokeza Mara chache Sana,wengine Mara moja tu.
Wengine mpaka wanafariki...
Watu wengi wamekua na kasumba ya kuwaponda single mothers kwamba hawafai kuoa na kutoa sababu kedekede sasa leo nakupa faida za kuoa single mothers.
1. Kashapevuka kiakili.
2.Atalea mtoto / watoto...
Wiki 2 zilopita.
Tuligombana, kanuna na kila mtu akabaki kivyake na maisha yake, Sasa tarehe ya rejesho ilivokaribia nikaona Bora nintafute turudiane, kweli jumatano tumerudiana.
Siku ya Ijumaa...
Bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Jamii imekuwa stuck katika swala la mwanaume kufanya hivi mwanaume kufanya vile, Sipingi upande wowote ule ila ningependa Tujifunze kitu kidogo pamoja...
kuelezea utu na haiba ya za ndani za mwenzi wako kwa matusi ya fedheha mbele za watu au kwa marafiki zako, na kufichua siri na madhaifu ya utu na heshima ya mwenzi wako khadharani sio ungwana na...
Mnaweza kupanga na Msichana muonane lakini ukifika muda wa kuonana yeye akaamua kupiga zake usingizi . Ukaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao na ukatamani mpaka ukagonge hodi, lakini...
Guys nilifanya hivi:
Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend.
Majibu yalikuwa hivi
MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana
GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo...
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume...
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
Hi kitu nashindwa kuelewa malengo yake Ni nn ,Ni kunionesha kuwa amenenepa au kunanin?
Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu .mm huwa...
Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
Mambo ambayo huja baadae kusababisha kuiona ndoa ni chungu ni kuwa na matarajio makubwa kwa mwenza wako,,hii sio sawa hata kidogo,hatuna budi kutafuta namna ya kutafuta raha katika nafsi zetu...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.
Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam.
Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi...
Habarini wakuu.Nahitaji msaada.
Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.