Ni kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika?
Jirani kwanini unakuwa hivi lakini?
Yani tokea asubuhi unabadilisha story tu mara Treni ya Umeme...
Mara nyingi humu jamvini mtu akija na changamoto ya kuachwa au kukataliwa watu huwa wanashauri tafuta pesa, nunua gari na blah blah nyingine.
Sasa swali langu ukiwa na pesa, unamwita mdada...
Good morning.
Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.
Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na...
Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa
Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa...
Yaani tangu alipoondoka saa 12 asubuhi kufuata zawadi yake ndio anaingia ndani muda huu, kalewa pomoni, anasema huko waliitiwa kula na kunywa.
Lakini jirani yetu hapa naye alishinda hizo tuzo...
Wadau wa MMU tuongee Mahusiano Ijumaa ya leo
Kuna baadhi ya Wapenzi wakikosana hupigana kama njia ya kuonesha hasira zao
Lakini leo tuko na Wanaume. Kwa Mwanaume kumpiga mpenzi wake inaonesha...
Kuna binti hapa mtaani, ni mstaarabu sana. Nimeforce kadri niwezavyo mpaka nimepata mbususu yake iliyododa. Kabla ya kupata penzi lake tulikuwa ni marafiki tulioshibana sana, alikuwa...
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto...
Habari zenu ndugu?
Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje...
1. Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa...
Huwezi kukuta mmasai ana ukimwi wala anajiuza kulingana na mila zao. Wamasai ni wastarabu sana na ukipata mke wa kimasai umepata kweli.
Lazima utamkuta ni bikra na kama ni mwanaume lazima hana...
Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.
Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye...
Habari wadau.
Vijana wengi wanachelewa sana kufunga ndoa kwa kisingizio cha kusubiri mwenza bora. Ukweli ni kwamba marrying late doesn't guarantee you will marry right.
Vijana fungeni ndoa...
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa
Miezi kadhaa nilimchumbia...
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti...
Kwema wandugu
Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana
Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu.
Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha...
Salamu wakuu.
Tuchangamshe kidogo kijiwe kwa hi true story.
Ni mwaka 2016 nilimuona huyu mrembo, Ni mtumishi wa Umma na ana watoto wawili, kabeba zigo la haja na guu la dompo Kama sio la bia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.