Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman...
Wana JF, poleni na majukumu pamoja na changamoto mnazopitia katika maisha.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nimejiajiri. Katika changamoto nilopitia hiii hapa imeniuma sana, sijawahi kumia...
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.
Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa...
Habari za wakati huu wakubwa.
Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah.
Jinsi...
Jamani wandugu poleni na mapumziko.
Ni hivi,naomba kujua kazi ya kungu ni nini,inaandaliwa vipi,inaliwa na nini ili ifanye kazi vizuri kabisa na uweze kuickia.inapatikana wapi.mwenye kujua naomba...
Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:-
Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na...
Nimekuwa katika mapenzi kwa miaka mingi ila ikafika hatua nikaamua kuachana nayo baada ya kujikuta naumia zaidi ya kufurahia.
Nikajikita kwenye utafutaji wa pesa tu lakini kutokana na hali ya...
Mwanaume mzuri utamjua tabia yake akiwa na hela na mwanamke mzuri utamjua wakati wa shida zako wewe mwanaume .
Haya maeneo mawili huwa hayafichi uhalisia na tabia ya mtu .
Baada ya kugombana karibu wiki Mbili kila mtu kivyake, Ijumaa kanitafuta Kisingizio eti kapoteza funguo za nyumban kwake nimpatie nilizonazo za akiba ili asilale nje.
Jumamosi Nmempelekea funguo...
Wasalaam Wakuu!.
Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni...
Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni.
Yaani unakutana na mtu online mnachat...
Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind"
Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya...
Kwa dada zangu wote wa kizazi hiki chetu: Sababu zinazoweza kukufanya ukose mchumba ukabaki singo muda mrefu au maisha yote huku unalialia:
1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huenda kanisani...
Faida za kuwa na mke ni nyingi sana.
Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi.
Wanaume wasiowa...
Ilitokea Ohio, marekani, 2000
KWA KIFUPI Ni kwamba,
Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha.
Vigezo vyake Ni awe mrefu...
Jina langu ni Yohana Mayunga, mzaliwa wa Musoma, mkoa wa Mara. Katika maisha yangu, nimejifunza mengi kupitia methali, misemo, mafumbo, na nahau. Hizi ndizo nguzo zinazoniongoza katika safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.