Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habarini wana JF, Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita...
1 Reactions
144 Replies
13K Views
Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa...
5 Reactions
9 Replies
788 Views
1. Mwanaume Kicheche: Hakuna mwanamke anayependa kuchezewa na wanaume, labda tu kama anafanya hivyo katika juhudi zake za kujikwamua kiuchumi, lakini pale mwanamke anapokuwa katika harakati za...
38 Reactions
245 Replies
46K Views
In most cases, hawa watu huwa wananyege sana. Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto. Hii sijui kitaalamu imekaaje....
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada MPUNGUZE BASI.
0 Reactions
112 Replies
8K Views
  • Poll Poll
This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia...
0 Reactions
2 Replies
408 Views
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu. Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga. Kama mwanaume na...
103 Reactions
2K Replies
209K Views
Habari za holday wanaJF! Hope mnaendelea vizuri na kazi zenu... naombeni ushauri wenu........ Jamani mimi nina rafiki yangu kipenzi ambaye ananiwazisha sana kwa hali aliyo nayo maana...
5 Reactions
204 Replies
16K Views
Msaada kwenye tuta. Huu ni mwezi wa 8 tangu nifungue duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani,mwezi huu nimeamua kupanua kidogo duka limekuwa la jumla na reja reja, Duka lilianza vizuri sana ,kila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams...
3 Reactions
96 Replies
16K Views
Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu. Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata. Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na...
2 Reactions
158 Replies
14K Views
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana! Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata...
13 Reactions
324 Replies
30K Views
  • Poll Poll
Habari za usiku mteke wapendwa.... Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga.... Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari wapendwa, imekuwa ni kawaida na ndio naona ni kama style ya sasa kina dada kutongoza wanaume najiuliza hivi ni wadada wangapi waliotongoza wanaume na wakafanikiwa kimapenzi. Na wakaolewa...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Hi jf! Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Binti huyu ameajiriwa kuuza duka la dada mmoja jirani na ofisini kwangu, anaonekana anajiheshimu na anaonekana mcha mungu, mimi binafsi nlishatendwa na niliyekuwa naye hivyo nimechoka na haya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwaaga rasmi. Naondoka hapa kwetu Njinjo kesho naelekea wilaya ya Liwale ambapo nimepata kibarua kwa mzee mmoja. Nijuavyo huko Mpigamiti hakuna Internet, hivyo...
1 Reactions
6 Replies
888 Views
Hi, I have been in a relationship with a girl and we have got sex 3 times, though I did not enjoy as she do complain of feeling pain due to my 7inch shaft. Last night she proposed to invite her...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari juu kiukweli kwa sasa wanaume wahongaj wanapotea taratibu, kimsingi mimi binafsi hadi sasa nishakuwa na wasichana wanne na nimetoa sh.7000 kwa mwanamke huwezi amini ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…