Natumai mu wazima wote wana jamii forum hasa wa ukurasa huu, leo napenda kuwashirikisha jambo hili kwa jinsi nionavyo/ninavyofikiri mimi kuwa kitendo cha kutokukuta bikra kwa wasichana tunaokutana...
Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharibikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana...
Wakuu,
Kuna binti nilizaa nae mtoto miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa kwa bahati mbaya uhusiano huo haukuweza ku materialise kufikia ndoa nikawa nimeoa mwanamke mwingine yeye hajaolewa hadi...
Kumbee ndivyo ilivyo,
Naanza kwa kufikiri na kutizama naona kama maono nakuja kugundua kumbee ndivyo alivyooo looh! Sina hamu Kasinde mie najuta kumuamkia adult kumbe kinda la ndege khaaa...
*Unalalamika kama Yeye
*Unaongea sana kama Yeye
*Unaongozwa na hisia kama Yeye
*Una wivu sana kama Yeye
*Huna misimamo kama Yeye
*Una matiti na kitambi kama Yeye
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu
2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao
3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta...
Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha.
Ni hi atakanyaga mafuta hadi...
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO.
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO
Unapojiingiza katika mahusiano na...
Naombeni ushauri,
Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
Mpaka nimeamua kukuandika sijui nifanye nini, mimi ni kijana wa miaka 33 nimeoa na nina mtoto mmoja na sasa hivi mke wangu amekwenda nyumbani kwetu kujifungua na hii ndio sababu ya mimi kuja...
Wanasema imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo n bayana ya mambo yasioonekana
Dah nnina dada yangu kaolewa kama mwez umepita jana kapiga mumewe kahamishiwa dodoma....
Hapo tuna mwingine...
Uwe ni mdada, au mkaka, uwe na mchumba na unasita kuamua kuoa au kuolewa, sikia usisite, amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox. Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada, pia usisite...
Habari za jioni ndugu zangu wa JF.
Suala la mahusiano linavuruga akili kiasi cha kutesa sana.Macho yanaona msichana mrembo sana maishani kila siku.
Mrembo ulie muona aweza kuwa wa dini yako ama...
Inakuaje waheshimiwa?
Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.
Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇
Nikiwa...
Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Kiunganishi katika ndoa ni kushiriki tendo la ndoa.
Inapotokea tendo la ndoa halifanyiki kwa muda fulani mfululizo, hapo kunakuwa hakuna ndoa, na badala yake wote wawili mnakuwa washirika wa...
Ni jumla ya utimamu wa kimwili, kiasaikolojia, kiakili na kiroho katika kushiriki kikamilifu kwenye tendo ndoa. Concentration ya kimwili, kiakili, kiasaikolojia na kiroho yafaa kua kwenye tendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.