Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai...
7 Reactions
180 Replies
5K Views
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
8 Reactions
93 Replies
2K Views
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
14 Reactions
123 Replies
4K Views
Wakuu hii hutokea sana tena Mara nyingi huko tunapokuwa tunatafuta elimu Unaweza kuona mwalimu wa kike/kiume kampenda mwanafunzi wake au mwanafunzi wa kiume kampenda mwalimu wake wa kike/kiume...
14 Reactions
52 Replies
6K Views
HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI. Anaandika, Robert Heriel Asome kuanzia mwenye miaka 18. Nakupa Tips chache tuu. Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia. Hata...
43 Reactions
141 Replies
17K Views
Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto...
4 Reactions
23 Replies
688 Views
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Ni wadhaifu sana, chombo kisicho kua na nguvu na kweli kabisa wengi wao upeo wao ni mdogo huku wengine wakiwa wapumbavu sana ila huwezi m-replace mwanamke na punyeto Ukipata mwanamke/ mke umepata...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwa sasa mahusiano yote kiujumla system na maintanance cost yake ni sawa na kununua kahaba. Mwanamke akija kukutembelea ugharamie usafiri, ukienda kumtembelea utaambiwa njoo na kitu fulan mfano...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Kama unavyojua wanawake hawapendi amani idumu kwenye mahusiano mkikaa muda mrefu bila mkwaluzano wowote atatafuta tu sababu ya kuanzisha marumbano hata kama ni sababu ya kijinga ilimradi tu akuone...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
TABASAMU lako ndio furaha yako ya mwili. Jipende na kujiweka kama mwanamke mwenye heshima na akili. Tambua kwamba mwanaume wa kweli ni yule anayejua thamani yako na kukujali kwa kila kitu! ❤️
1 Reactions
6 Replies
536 Views
Nimevumilia tunavyonangwa wanaume sasa unyonge basi..Mwanaume akimwaga mbegu ndani ya dakika2 mnasemavanatatizo,je mwanaume unayemsuguwa ndani nje mara10tu ameshakojowa ndani ya dakika2 na anasema...
2 Reactions
13 Replies
446 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
51 Reactions
237 Replies
15K Views
Hv ni kwel kwa waendao kwa wagang kuna dawa mix full ya kumvuta mpenz kwa harak? Kama kwel ajuae atujuze! Maana weng waongo.
4 Reactions
110 Replies
9K Views
UNAOJIFARIJI MBELENI WATABADILIKA WENGI WAO WATAENDELEA KUKUUMIZA BADALA YA KUBADILIKA. Kuna usemi maarufu usemao kama huwezi kumpenda mtu vile alivyo sasa mwache na usijidanganye kumbadilisha...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Habari wana JF. Mimi ni ME wa humu JF. Tatizo langu kubwa, nimepoteza hamu kabisa ya watoto wa kike. Ninapokuwa karibu yao ndo napata muwashawasha wa kuwa nao kwenye sita kwa sita. Ila ninapowapa...
1 Reactions
20 Replies
840 Views
Nilikua siamini ushirikina lakini sasa naanza kushtuka sielewi huyu jamaa ni mchawi ama, katuzalisha wanawake 4 wa 1 kashaolewa, sasa sisi tuliobaki 2 tunamawasiliano mazuri tu huwa tunapigiana...
2 Reactions
84 Replies
12K Views
Back
Top Bottom