Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA! Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu. Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya...
31 Reactions
228 Replies
18K Views
Kwema Wakuu! Juzi kuna dada mmoja alinicheki na kuniomba ushauri kuwa afanyeje ili amkomeshe kijana mmoja ambaye kwa madai yake anasema amemkatili. Sisi wanaume wengi wetu hatukomolewi wala...
2 Reactions
3 Replies
749 Views
Picha: Kupatwa kwa mwezi Picha: Kupatwa kwa jua ===================== Kwa msiojua, kupatwa kwa jua hutokea kati ya saa 2 asubuhi na saa 12 jioni ambapo mwanga wa jua hufifia na kuwa kusiko kwa...
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Hii ni baada ya kumuuliza babu mmoja hivi wa hapa kijijini nilipofikia lengo nipate maarifa kuhusu mahusiano, nilimuuliza" babu kwa nini nyakati hizi ni vigumu ndoa kudumu tofauti na nyinyi...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Ilaa hakuna kitu kigumu kama kumvumilia mwanamke mwenye Show mbovu walahii... Yani kwa kweli yataka moyoo sana hasa ukikuta wale dak mbili ashavaa chupi na kuna wa kulala kama Gogo kama yule wa...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau kuna vizee fulani vinapenda watoto wadogo wanawanyapia kwa vizawadi ndogo ndogo wakiwachukua toka shule nakuwaahidi uongo mwisho wenu mnawapa mimba na magonjwa yenye maambukizi kaeni wake...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Vipi wadau, Kwa kipindi kirefu nimekuwa najaribu bahati yangu kuopoa kifaa toka social networks tofauti tofauti kwani wadau kibao wanasema kule ni rahisi afu unang'oa vitu tbs. Wiki iliopita si...
1 Reactions
108 Replies
13K Views
Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Wadau niwaulize, Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 zishavunjika ndani ya muda mfupi tu hivi simuoe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu. Basi mkioana msiachane ili mtupe moyo think...
6 Reactions
17 Replies
548 Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine ikawa...
18 Reactions
323 Replies
6K Views
Kuna msichana mmoja niko nae kaning'ang'ania. Nimeshamwambia twende taratibu lakini yeye ana kasi sana, mara ananiita mume. Wakati bado nataka tuchunguzane kwanza. Yaani kajaa matumaini mpaka...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
10 Reactions
60 Replies
3K Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
17 Reactions
55 Replies
3K Views
Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu...
4 Reactions
17 Replies
756 Views
Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Dah jana mpenzi wangu aliniaga anaenda kuangalia kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambia poa.akaenda ilaa nilimpa muda yani mpaka saa saba awe amerudi akasema poa...
15 Reactions
322 Replies
33K Views
Back
Top Bottom