Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Naitw Ahmad nna umri wa miaka 24, natafut rafik wa kike wa kushea nae mawaz cna ubaguz alietayar anitafut kupitia mail yng. njenga_ ahmady@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Mke wa Pili 18 August 2013, Sunday Jumapili nilienda kwenye msiba wa mke wa jirani yangu, Alfred. Kama kawaida nilikuta watu wamekaa kwenye vikundi vikundi kulingana na rika na kuzoeana. Ila...
10 Reactions
65 Replies
7K Views
Ktk pitapita zangu hususani ktk mitandao ya kijamii nimeona watu wanaelezea hisia zao juu ya aina ya mwanaume/mwanamke anayemvutia, kwa wadada wengi wanasema pesa, urefu nk. kwa upande wa wanaume...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za jioni Wadau.... Leo wakati Tupo mapumzikoni lunch na kuwadada wanajadili kuwa kama umefiwa na Mke,yaani kama yeye mwanamke amefariki ni vema mwanaume/Mume wake akaoa mdogo wake/Dada...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
ubaguzi wa rangi umepata kuwepo katika kiwango cha juu kabisa HUKO AFRIKA KUSINI. pamoja na vita kali ya kuupinga lakini ubaguzi bado upo ktk nchi za ng'ambo,weusi bado wanabaguliwa. UBAGUZI WA...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam mmu crew! Nimejishauri sana kabla ya kupost hii kitu hapa, nikaona nisiishi dunia ya kipeke yangu ngoja nishirikishe na wengine nipate uzoefu wao na pia waweza pata uzoefu huu. Ni ile...
2 Reactions
125 Replies
22K Views
WATUMISHI WA ZAHANATI WATUHUMIWA KUFANYA MAPENZI NA WAGONJWA.. WATUMISHI wawili katika zahanati ya Mwanhala wilayani Nzega, wamekumbwa na kashfa ya kufanya mapenzi na wagonjwa hospitalini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
KILA KIUNGO KINA KAZI MAALUMU. 1.unyayo kutembelea 2.mdomo kulia chakula 3.ulimi kujua radha 4.viungo vya uzazi kwa ajili ya mapenzi na uzazi 5.anus kwa ajili ya haja kubwa. 6.masikio kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
MPENZI wako anakutembelea Home kwa kushtukiza. mfukoni Una Mia sita Tu, unaamua kumchukulia cocacola moja ili asione kama huna kitu. Alafu wewe unaamua kuchukua chupa ya Sprite unajaza maji...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanawake wengi wa mkoani Tanga hupenda sana wanaume wenye mizigo down stairs. Kuanzia watoto hadi wazee, wote macho yao yako kwenye mabusha. Hivi kuna siri gani nyuma ya pazia? Je wenye mabusha...
0 Reactions
107 Replies
22K Views
Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Unapokuta mwanamke au mwanaume anamlaumu mume au mke wake kwa kitendo chake cha kukaa na kuzungumza na mtu wa jinsia nyingine mara kwa mara utasemaje, je utasema ni wivu uliopitiliza...
19 Reactions
72 Replies
8K Views
Utamaduni wa kucheza uchi au nusu uchi upo kwenye mataifa mengi sana, lakini sijawahi kuwa kuna kundi la wanaume wacheza uchi, kila nikisikia habari za kusasambua na kumwaga radhi wahusika wakuu...
8 Reactions
161 Replies
33K Views
A new trend of commercial sex tourism that targets young boys in the coastal towns of the country Dar Es salaam, Tanga NA zANZIBAR . The reports monitored quoted mAN as saying the trend had...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna watu wanasumbuliwa na jini mahaba na kuna wengine wanasumbuliwa na pepo wa ngono. Je ni zipi sifa za jini mahaba na zipi za pepo wa ngono? Naombeni majibu yenu waungwana
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hii ni kwa wakubwa tu!!!....inawezekana wengi wetu tunafanya mapenzi kwa malengo tafauti na faida hizi zilizotajwa hapa chini. Ila achilia mbali sababu zako zakufanya ngono hizi nifaida za kiafya...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
1.Naanza mimi,demu wangu kumpigia simu alafu iko bussy mda wote. 2. 3.
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Utalii wa ngono zanzibar unafanywa kati ya wanawake wa kizungu na wanaume wa kitanzania. WANAUME WA KITANZANIA wanajulikana kama BEACH BOYS. Wakihojiwa: Mzungu mmoja kasema siyo vibaya kuja...
0 Reactions
16 Replies
17K Views
Wana Jf jamvini kumevamiwa na watoto wa fb lugha inayotumika baadhi ya michango katika uzi unapopitishwa ni mbaya kwakweli hatua inaweza kusaidia kuondosha hili tatizo maoni yenu ni muhimu sana...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Back
Top Bottom